Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Hamkujuwa sikuzote?mlikuwa wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-ungeniwekea ushahidi wa mahali alipozikwapua pesa hizo, ningekuruhusu uendelee kunitukana,

NB:usifikiri mimi nafurahia anachokifanya makonda, lakini uzushi hautusaidii mkuu.
 
CC: Pascal Mayalla jingalao stroke cocochanel Ruttashobolwa Ufipa-Kinondoni mpooooooooooo
 
Nittakuwa wa mwisho kukubaliana na wewe kuhusu Makonda na Rais JPM kushirikiana kwenye biashara/ufisadi, maana kama ingelikuwa hivyo basi JPM angempa Makonda pesa ya kukombolea container zake, sakata lisingefika hapo lilipofika.

Ila watanzania wengi wanasubiri kuona kiwango cha uwadilifu wa Rais JPM na Mh. Makonda kwenye sakata hili la wazi la makontena, kwakuwa msimamo wa Rais kwa viongozi waliotenda makosa kama aliyotenda Makonda unafahamika. Watanzania wanasubiri movie itaishiaje.
 
Hayo majitu hayana aibu ya kushika dodoki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…