RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Happy new year 2025 wadau wote wa JF.

Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha.

Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka viwanja vya Nyamagana.

Arusha imekuwa ni habar nyingine kabisa. Vibe la kufa mtu. Mitaa inayoingia clock tower ya fungwa kwa siku ya 3 sasa.

Hakika Makonda, Arusha itakukumbuka. Bia zimeadimika, nyama choma chipsi zimeyeyuka.

Hakika Arusha imeanza kupata baraka za Mungu. Kwa sala na dua za tarehe 9 dec na hizi za mkesha. Kama una mauchawi yako na makafara usiingie Arusha.

Makonda anaiheshimisha Arusha na wana Arusha wanampa tano Makonda.

Mungu amlinde huyu ndugu yetu, anasaidia maisha ya watu kuguswa.

Arusha imeng’ara na itaendela kumetameta china ya RC Makonda.

Heri ya mwaka mpya 2025 kutokea Chuga.
 
Back
Top Bottom