Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halina chembe ya shaka. Uganda walitubeba. Inaitwa pipeline diplomacy.Labda ni kweli timu yetu ilibebwa na Uganda kuingia AFCON
Ki samatta chenye nilisikia juzi kinaongea siasa badala ya technics za uwanjani, Algeria piga hao wanasiasa warudi harakaHakuna cha Amunike wala Makonda. .wachezaji wetu hawana quality. .ndio maana tuna Samatta tu
Kweli Mkuu ! Tunasahau kuangalia ubora wa wachezaji..Sisi tunacheza na habari za Makonda, Amunike, Magufuli, CCM Stars, bla blaaHakuna cha Amunike wala Makonda. .wachezaji wetu hawana quality. .ndio maana tuna Samatta tu
Mimi pia ntakua nawaunga mkono Ageria ili mawowowo fc ipigwe kipigo cha mbwa koko na ichakae kabisa.01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Kawe kumbe tupo wengi humu . ila mimi sio muongoni mwa ulio wombea radhiKwa niaba ya wana Kawe wenzangu nami namuomba radhi Rais
Mimi na jezi ya Algeria Nisha nunuaa01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Hizi ndio dalili za bangi01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Hautakuwa peke Yako!01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Dalili za bangi ni kuwakilishwa na CCM StarsHizi ndio dalili za bangi
Sasa wameikana kimya kimya. Ingeshinda pongezi kwa Jiwe. Tumerogwa.Dalili za bangi ni kuwakilishwa na CCM Stars
Nimesisimkwa01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria