RC Makonda amuomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa kipigo ilichopata Taifa stars

RC Makonda amuomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa kipigo ilichopata Taifa stars

Hili ndilo taifa la Bongo lenye vitu kibao ndani ya udongo lakini watu wake ni waongo
 
Hawa watu ni wapumbavu kabisa, kila sehem ni siasa, ngoja Aligeria awatandike tena, naona pole pole akienda kuhamasisha mara hii
 
Hakuna cha Amunike wala Makonda. .wachezaji wetu hawana quality. .ndio maana tuna Samatta tu
Ki samatta chenye nilisikia juzi kinaongea siasa badala ya technics za uwanjani, Algeria piga hao wanasiasa warudi haraka
 
Hakuna cha Amunike wala Makonda. .wachezaji wetu hawana quality. .ndio maana tuna Samatta tu
Kweli Mkuu ! Tunasahau kuangalia ubora wa wachezaji..Sisi tunacheza na habari za Makonda, Amunike, Magufuli, CCM Stars, bla blaa
Soka ni uwezo wa mchezaji + wachezaji hayo mengine ni nyongeza tu

Siasa inatutoa nje ya reli kwenye vitu vingi sana.
 
Back
Top Bottom