Msichoke
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 569
- 400
Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani kustaafu kuchezea timu ya Taifa anastahili kupongezwa.
Makonda aliona mbali au mwendelezo wa kauli au maamuzi yake yaliyozoeleka(baadhi wakiamini ni ya kukurupuka na sifa)? Jibu linaweza kuwa lolote lile ila ukweli unabakia pale pale Makonda ametusaidia kuimalisha safi ya ulinzi ya Stars.
Licha ya Juma Kaseja Juma kubeba sifa zote lakini ubora wa Erasto Nyoni katika dakika 120 pamoja na zile 90 za kule Burundi ndio sababu ya dunia kusahau kuwa mshambuliaji wa zamani wa Stoke City na WBA Saido Berahino alikuwepo uwanjani.
Hongera Makonda! Hongera Erasto Nyoni! Hongera Kaseja !Hongera Taifa Stars! Hongera Watanzania.