Rc Makonda anahitaji pongezi

Rc Makonda anahitaji pongezi

Msichoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
569
Reaction score
400
Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani kustaafu kuchezea timu ya Taifa anastahili kupongezwa.

Makonda aliona mbali au mwendelezo wa kauli au maamuzi yake yaliyozoeleka(baadhi wakiamini ni ya kukurupuka na sifa)? Jibu linaweza kuwa lolote lile ila ukweli unabakia pale pale Makonda ametusaidia kuimalisha safi ya ulinzi ya Stars.

Licha ya Juma Kaseja Juma kubeba sifa zote lakini ubora wa Erasto Nyoni katika dakika 120 pamoja na zile 90 za kule Burundi ndio sababu ya dunia kusahau kuwa mshambuliaji wa zamani wa Stoke City na WBA Saido Berahino alikuwepo uwanjani.

Hongera Makonda! Hongera Erasto Nyoni! Hongera Kaseja !Hongera Taifa Stars! Hongera Watanzania.
 
Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani kustaafu kuchezea timu ya Taifa anastahili kupongezwa.
Makonda aliona mbali au mwendelezo wa kauli au maamuzi yake yaliyozoeleka(baadhi wakiamini ni ya kukurupuka na sifa)? Jibu linaweza kuwa lolote lile ila ukweli unabakia pale pale Makonda ametusaidia kuimalisha safi ya ulinzi ya Stars.Licha ya Juma Kaseja Juma kubeba sifa zote lakini ubora wa Erasto Nyoni katika dakika 120 pamoja na zile 90 za kule Burundi ndio sababu ya dunia kusahau kuwa mshambuliaji wa zamani wa Stoke City na WBA Saido Berahino alikuwepo uwanjani.

Hongera Makonda.Hongera Erasto Nyoni.Hongera Kaseja.Hongera Taifa Stars.Hongera Watanzania
Hongera Magufuli na CCM pia kwa kufanikisha hilo
 
Kwanini walitaka kustaafu kwani ni wazee?
 
Makonda oyeeeeee!!!Ila kugawa milioni 10 kwa mchezaji mmoja pekee sijapenda,Makonda tunajua unapesa sana kwasasa unakimbizana na Mzee Bakharessa.Kama vipi watie million 10 kila mchezaji bana sio Kaseja pekee...Twende na Makonda 2020 kwa Urais.
 
Jamaa una akili sana!

Pongezi zimehamia kwa mwana sasa! Baba amepumzishwa kwa muda.
 
Kwa kipindi hiki stars bila nyoni ni sawa na mwanamke bila papuchi.
 
Awamu ya tano

Awamu teule na takatifu

Awamu yenye mafanikio

Hakikaa tunajivunia awamu ya 5
 
Makonda oyeeeeee!!!Ila kugawa milioni 10 kwa mchezaji mmoja pekee sijapenda,Makonda tunajua unapesa sana kwasasa unakimbizana na Mzee Bakharessa.Kama vipi watie million 10 kila mchezaji bana sio Kaseja pekee...Twende na Makonda 2020 kwa Urais.

Tutamlaumu bure tu....na wengine basi wajitolee.... Mshkaji kajitolea sana hasa kwa wagonjwa na walemavu kawasaidia mno, na wengine kawasafirisha hospital za nje kwa mamilioni ya pesa.

Respect kwake Paul Makonda
 
Back
Top Bottom