RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Tunawaomba nchi majirani na mataifa mengine yote wasitumie viongozi tulionao kupima uwezo wetu wa kufikiri,wakifanya hivyo watakuwa wametuonea sana!
 
Makonda ataitumbukza nchi kwenye maafa makubwa! Anafanya vitu vya ajabu anaachwa tu! Nilikuwa nawalaumu wapalestina/waarabu kuwa suicide bombers, kama wanapitia madhira kama haya, basi wacha wafanye hivyo! Mungu tusifike huko tuepushe na mtu huyu kwa uweza wako kwa njia yoyte utakayoona inafaa
Another episode, another laughter
 
Aliyemtaka ni Zitto maana si ndiye anayeongea ongea kila siku akiwa Dar....

Wacha tuone Zitto kabwe akipelekwa Kisutu kufunguliwa mashitaka ya Uzururaji....

Pole Tanzania, hapa ndipo ulipofikia...!!
 
Ninachojiuliza ni kwamba kama mwenyekiti wao alisema wabaki dodoma huyo bulaya na msigwa na heche waliendaje Dar?

Je wanayo hoja ya kuwaambia wale walioingia bungeni kuwa wamekosea mamauzi ya chama?
Kwa nni wao wameshindwa kutii maamuzi ya chama kubaki dodoma, hapo hawajakiuka maagizo ya mwenyekiti?,
Naomba majibu kwa:-
1) Erythrocyte
2) Return undertaker
3) G Sam
4) Imhotep
Na wengine.
 
Watakamatwa kama wanavyokamatwa Machangudoa ila Makonda huu ujasiri ameurithi kwa nani? [emoji23][emoji23]

Na hao wabunge kwanini wasikae majimboni mwao wanakuja kukaa Dar kwenye Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…