mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Yes inatakiwa ukisusa Bunge kaa kwenye Jimbo lako Sio uje mjini kula Bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iringa.Hivi ndugu hapi yuko wapi
Another episode, another laughter
Kumbe wameenda Dar kwenye Corona? Hawa Chadema Mungu anawaona. Wangeenda makwao ningewaelewaWaletwe bungeni na karandinga...
Aliyemtaka ni Zitto maana si ndiye anayeongea ongea kila siku akiwa Dar....Hata Mimi naunga mkono, mkuu wa mkoa kapotoka vibaya mno
Naungana na Mh Zitto kupinga Ujinga huo wa mkuu wa mkoa,
Ila pia Kwa majibu hayohayo, Nanyi msimpangie Mh Raisi mahali pa kwenda kukaa
Kumbe sehemu ya nyinyi mkae wapi ni haki yenu pekee Ila linapokuja swala la Raisi kukaa wapi ndio apangiwe siyo??
Chato ni kwake. Zitto kwake Dar?Kuna mwingine yupo Chato pia ana miezi kadhaa anakula kodi zetu, nipeni namba ya mkuu wa Mkoa wa Geita nimshtue amtimue pia
Tunawaomba nchi majirani na mataifa mengine yote wasitumie viongozi tulionao kupima uwezo wetu wa kufikiri,wakifanya hivyo watakuwa wametuonea sana!
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam kuhakikisha wanarudi bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji. Mbunge anaepaswa kuwa Dar ni mwenye Kibali cha Spika tu.View attachment 1441377
Ila kawatukana! Najiuliza jinsi Mbowe , Msigwa wakikamatwa kama machangudoa
sali sana Mola akupe akili za kufikiri, kupambanua mambo na kuelewa.Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Mabara ndio nini?Halafu wanazurura mitaani na kushinda kwenye mabara