Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Hosni MubarakNi swala la Muda tu Cheo ni Dhamana.. Ipo Siku Watashanagaa, Kama Miamba ya Dunia hii "Hussein Mbarack" wa Misri Yalimkuta. Je Sembuse hapa kwetu... Time always is a great teacher.
Dah, huyu jamaa anafanya sisi tufanye judgement ya kabila zima
Kreluu alichinjwa kama mbuzi na Mamwindi.
Rip Kreluu!
Unampangiaje mtu aishi wapi?Kwanini wasiende kwenye majimbo yao mpaka wakimbilie Dar?
Jinga tu hao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Makonda ndio Spika wa bunge?!Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
Usilinganishe DAR na Simiyu wewe. Wewe unafikiri kuongoza mkoa wa Dar ni rahisi ?Mkuu wa mkoa pekee ambaye huwa natamani wakuu wengine wa mikoa wafuate nyayo zake ni Antony Mtaka RC wa Simiyu huyu jamaa sijawahi kuona anafanya kazi kisiasa nadiriki kusema hatoshi tu kuwa mkuu wa mkoa bali anaweza kufanya kazi zaidi ya ukuu wa mkoa ni mtu mwenye akili sana katika uongozi.
Ma-RC angalieni mwenzenu anavyofanya kazi ana kitu cha kuwafundisha ni kijana asiyekikweza mbele ya vyombo vya habari.
Wapi nilipolinganisha mkoa wa Simiyu na Dar? Umeelewa au umetaka kuandika ulichojisikia?Usilinganishe DAR na Simiyu wewe. Wewe unafikiri kuongoza mkoa wa Dar ni rahisi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomshuta kutoka kwenye boneti ya gari pale government hospital walikuta kichwa na kiwiliwili vimetenganishwa!Alitandikwa risasi kadhaa
Kuna wabunge kama watatu wamedondoka, according to WHO advise wabunge hawatakiwi mule.Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Hata ile kazi Wamarekani waliyosema anafanya, kiukweli yeye anatumwa tuu. Kazi chafu akitumwa anafanya kwa moyo mkunjufuKwani Makonda ndio Spika wa bunge?!
Uliwaona, lete ushahidi. Yaani yeye baada ya kupigwa stop asionekane anywhere near US anataka kuwageukia watanzania wenzake, kwani kuna yeyote aliyewahi kukatisha maisha ya mtu.Hawapo karantini wanazurura mitaani na kwenye mabara