Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Dah!Itabidi aitwe "binti kiziwi"!Maana anajidai hasikii kwa masikio pekee bila kushirikisha makalio yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule ana ofisi. Zitto ana ofisi Dar?Na yule aliekimbilia chato je?
Au kuna mpango wa kuwatupia gonjwa?Haha lazima tuwafute Dar nyie wahuni
Tunapoelekea hakutakuwa na watawaliwa, Bali watwana.CCM Ilishajifia wanatapa tapa tu, Akili za mwenyekiti wao zinawambia CCM itafufuka pale tu watakapo iua CHADEMA kwa gharama yoyote ile.
Watashindwa na kulegea...
CHADEMA Ipo na itaendelea kuwepo.
[emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434]
Umepewa dhamana ya kuongoza nchi halafu unajificha?Badala ya kupambana na Mwenyekiti kuwa ana kihujumu chama mnapambana na anayezidi kutia mafuta kwenye moto.
Hili swala la kukimbia bungeni kipindi uchaguzi unakaribia utawagharimu.
Chato haturuhusu suspect wa corona.Kama kawaida yake kumfurahisha Jiwe, hivi Makonda hamjamfuata Mzee Chato this time??
Kwani Tanzania kuna Lockdown, si kila mtu yupo free kuzururaKatika hili namuunga mkono mh Makonda kwa 100%
Wao wenyewe wamekiri bungeni kuna Corona sasa badala ya kujifungia ndani kwa siku 14 wanakuja Dsm kufanya nini kama si kuwaletea wananchi maambukizi?
Maendeleo hayana vyama!
Halafu eti limke la Mdee linakanusa kwamba Silinde hajaandika barua ya kujiuzuru kwa Mbowe Mugabe!Yaani wewe kwenye hicho kichwa huna akili kabisa nafikiri kuna makamasi tu. Hangaika na wabunge wenu waliomkataa amri ya Mbowe na ameaibika sana Mwenyekiti wa Maisha. Haingii akili wabunge wako wanakudiss!!
Aliyotendewa Lissu na serikali ni ya binafsi? Mbona unakuwa mchawi na mpiga risasi 38?Labda iwe ni chuki binafsi lakini siyo siasa!
Labda anataka kurudi kwenye kazi yake ya awali?Lema ameshakata tamaa!
Sijaelewa kwanini amemkumbuka muuaji hatari Mamwindi wa Iringa!
Zimebaki siku 22 kibarua chao kiishe. Bora wakae nyumbani tu kama wanaogopa kufa.
Wabunge ya ccm inawataka wabunge wasomi wa Chadema wawepo bungeni, kwa sababu mibunge ya ccm inapenda kuikosoa serikali lakini haina ujasiri huo. Sasa wanapoona wenye ujasiri wa kuisema serikali hawapo bungeni huwa wanaumia sana wakiongoza na li spika laoKila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14...
Na hili pia unasifia mkuu?Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Huyo anaenda kusambaza na kubakaza kwenye viti usalama wake unakuwaje? Na anakitunza vipi hicho kirusi cha korona ambacho hakionekani? Na kama ni hivyo walishindwa nini kufanya mapema. Hoja ya kipuuzi.Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Ushahidi wa nini? Huamini? Umewaona wakikanusha zaidi wamesema hatupangiwi (kuzurura na kukesha mabar)Uliwaona, lete ushahidi. Yaani yeye baada ya kupigwa stop asionekane anywhere near US anataka kuwageukia watanzania wenzake, kwani kuna yeyote aliyewahi kukatisha maisha ya mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app