RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

CCM Ilishajifia wanatapa tapa tu, Akili za mwenyekiti wao zinawambia CCM itafufuka pale tu watakapo iua CHADEMA kwa gharama yoyote ile.
Watashindwa na kulegea...
CHADEMA Ipo na itaendelea kuwepo.
[emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1422][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434]
Tunapoelekea hakutakuwa na watawaliwa, Bali watwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kupambana na Mwenyekiti kuwa ana kihujumu chama mnapambana na anayezidi kutia mafuta kwenye moto.

Hili swala la kukimbia bungeni kipindi uchaguzi unakaribia utawagharimu.
Umepewa dhamana ya kuongoza nchi halafu unajificha?
 
Katika hili namuunga mkono mh Makonda kwa 100%

Wao wenyewe wamekiri bungeni kuna Corona sasa badala ya kujifungia ndani kwa siku 14 wanakuja Dsm kufanya nini kama si kuwaletea wananchi maambukizi?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Tanzania kuna Lockdown, si kila mtu yupo free kuzurura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe kwenye hicho kichwa huna akili kabisa nafikiri kuna makamasi tu. Hangaika na wabunge wenu waliomkataa amri ya Mbowe na ameaibika sana Mwenyekiti wa Maisha. Haingii akili wabunge wako wanakudiss!!
Halafu eti limke la Mdee linakanusa kwamba Silinde hajaandika barua ya kujiuzuru kwa Mbowe Mugabe!
 
Mmetoroka bungeni eti mnajiweka Karantini, sasa mnakwenda DSM kufanya nini wakati kila siku mnataka DSM ifungwe eti kisa CORONA?
 
Mwacheni ahangaike. Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 RE 2000 inatambua uhuru wa Mtanzania kuishi lolote ndani ya Jamhuri hii
IMG_20200506_143700.jpg
 
Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14...
Wabunge ya ccm inawataka wabunge wasomi wa Chadema wawepo bungeni, kwa sababu mibunge ya ccm inapenda kuikosoa serikali lakini haina ujasiri huo. Sasa wanapoona wenye ujasiri wa kuisema serikali hawapo bungeni huwa wanaumia sana wakiongoza na li spika lao
 
Hujui.....wametegwa, wakategeka....sijui....Ohoo! Bosi kaondoka, hafanyii kazi ofisini mwake. Kumbe!! 'kunya anye kuku, akinya bata.......'
 
Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Huyo anaenda kusambaza na kubakaza kwenye viti usalama wake unakuwaje? Na anakitunza vipi hicho kirusi cha korona ambacho hakionekani? Na kama ni hivyo walishindwa nini kufanya mapema. Hoja ya kipuuzi.
 
Uliwaona, lete ushahidi. Yaani yeye baada ya kupigwa stop asionekane anywhere near US anataka kuwageukia watanzania wenzake, kwani kuna yeyote aliyewahi kukatisha maisha ya mtu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa nini? Huamini? Umewaona wakikanusha zaidi wamesema hatupangiwi (kuzurura na kukesha mabar)
 
Back
Top Bottom