RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu


Haya ni maelekezo maalumu ya malaika MKUU toka CHATOO kwenda kwa RC MAKONDA ili kuwashughulikia Wabunge wa CHADEMA/Upinzani. Kumbuka Malaika MKUU alishamwelekeza Ayubu kukata Posho za Wabunge walioko kwene Isolation ya 14 days! Yajayo yanasikitisha sana!
 
Wasalaam wana jamvi!

Pengine Makonda amekosea kwenye maagizo yake na hayatekelezeki kabisa maana mbinge hawezi kulazimishwa kukaa bungeni!

Lakini tamko la Mbowe lilikuwa wazi kabisa na liliwataka wabunge wote wa Chadema kujikarantini Dodoma kwa siku 14 na wasiende kwao au majimboni mwao mpaka watakapo pima!


Kuna maswali mengi sana kwenye hili...

Ni wabunge gani wamejikarantini nyumbani kwao Dodoma?

Ni nani ana wasimamia wabunge hawa kukaa karantini?

Kwanini wamekiuka agizo la Mbowe kukaa karantini Dodoma?

Wasalaam


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Karantini huwa ni wapi?

Popote utapopachagua mwenyewe. It can be in a room at your home. Hii ndiyo isolation ukijiona Afya yako huielewi au kama umeshatengamana na mtu mwene Covid-19.

Lakini pia kuna Hostel za Magufuli pale Mlimani ukipenda!
 
corona inaleta comedy hivi machungudoa wanakamatwaje nijue kwanza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😷😷😷😷
 
Baada ya hotuba ya mkuu wa kaya jumapili, sahau habari ya corona.
Yaani ilizikwa rasmi pale chato na Mwigulu aliuzuria mazishi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

Popote utapopachagua mwenyewe. It can be in a room at your home. Hii ndiyo isolation ukijiona Afya yako huielewi au kama umeshatengamana na mtu mwene Covid-19.
Lakini pia kuna Hostel za Magufuli pale Mlimani ukipenda!
Nikiwa natembea na gari yako mtaani nikiwa pekee yangu na nifunga vioo vya gari yangu hiyo si isolation?
 
Inakuhusu nini? Mbona mnatuhimiza tuchape kazi na tusiiogope corona?

In God we Trust
 
Mbowe alisema kila mbunge ajitenge so hawezi kuwapangia wapi maana hawapi pesa ya matumizi!
 
Mambo ya CHADEMA tuwaachie wenyewe
 
Chadema ni kikundi cha wahuni wanafanya maamuzi kwa hoja za kudandia!
 
mkanyeni huyo dogo, hatafia madarakani amini nakwambia! tutalivenji tu.
 
Ina maana Makonda anadhani mzee baba pia kwa upande mwingine kutokuwa Dodoma ama Magogoni ni uzembe na uzurulaji pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retired, unadhani Corona ni sawa na ule upupu tuliokuwa tunapakazana shule ili mtu awashwe?! Unatumia science gani kwanza kucheza na hii ngoma?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…