mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Majumbani mwaoKarantini huwa ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majumbani mwaoKarantini huwa ni wapi?
Neno la kuwawakamata wabunge kama wanavyowakamata machangudoa. Hapo mheshimiwa mkuu wa mkoa umeteleza kidogo. Kuwafananisha wabunge ambao Ni wawakilishi wa wananchi na machangudoa Ni kuwatukana wananchi wao.
Waaombe radhi wananchi ambao waliwachagua wabunge hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu ni wale wanaomjadili Makonda badala ya kudeal na issuesMnachokitafuta Tanzania mtakipata mashetani nyie ,Magufuli na upumbavu wake asidhani yupo salama sana kwa kuonea watu ajifunze kwa wapumbavu wenzake kina Al Bashir
Sent using Jamii Forums mobile app
Karantini huwa ni wapi?
Baada ya hotuba ya mkuu wa kaya jumapili, sahau habari ya corona.Bashite anatutoa kwenye wajibu wa MOH kutoa taarifa za covid19,watu wanataka kujua kwasasa sample wanapeleka wapi kupima covid19 baada ya ofisi ya maabara kushutumiwa kwa vipimo feki na kutumiwa na mabeberu? Ummy na Majaliwa mbona kimya sana kutoa taarifa?
Nikiwa natembea na gari yako mtaani nikiwa pekee yangu na nifunga vioo vya gari yangu hiyo si isolation?I
Popote utapopachagua mwenyewe. It can be in a room at your home. Hii ndiyo isolation ukijiona Afya yako huielewi au kama umeshatengamana na mtu mwene Covid-19.
Lakini pia kuna Hostel za Magufuli pale Mlimani ukipenda!
I think you got it wrongMajumbani mwao
Kwanini siko sahihiI think you got it wrong
Retired, unadhani Corona ni sawa na ule upupu tuliokuwa tunapakazana shule ili mtu awashwe?! Unatumia science gani kwanza kucheza na hii ngoma?!Mwenye akili za kufikiri mbali atawaza hivyo. Pamoja na kumpiga Lisu risasi, bado wakamfanyia unyama wa kutomtibu, kumvua ubunge etc. kama wanapata mwanya huu "mzuri" kwanini wasifanye hivyo. Hakuna ujinga hapa, unaangalia possibilities za watu unao na mashaka nao kufanya jambo
Ndiyo CORONA itaisha?
Kuji isolate maana yake kuwa pekee yako na hii inaweza kuwa chumbani kwako,hotelini,kwenye gari etcKwanini siko sahihi