Hassan Rwitita
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 148
- 66
Ndugai kawafukuza wabunge wa uponzani Lema Godbléss, Ester Bulaya, Halima Mdee Sasa want wenyewe kwa makubaliano napo hataki Sasa sijui Kama anaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kuufufua uzi😆😆😆😆
Akamatwe fasta!Arudi koromije
Jama jama msimkurupushe na mawe kiasi hicho binadamu mwenzenu sijui kwa nini naota atajapewa nafasi pendwa kumbuka zipo kumi tuwape mudaAtafutwe akamatwe popote alipo. Mzururaji huyo hana kazi anafanya nini mjini
[emoji23][emoji23][emoji23]Yeye kawa mzururaji huko mwanza,ukimkuta mitaa ya bonasera kavimbisha kalio lake
Hahaaa😆😆😆😆
OvaYeye kawa mzururaji huko mwanza,ukimkuta mitaa ya bonasera kavimbisha kalio lake
😂Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam kuhakikisha wanarudi bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji. Mbunge anaepaswa kuwa Dar ni mwenye Kibali cha Spika tu.View attachment 1441377
Na akafie mbali na makeke ya hovyoAcheni wajemeni kifungo kipo nje nje