RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Ndugai kawafukuza wabunge wa uponzani Lema Godbléss, Ester Bulaya, Halima Mdee Sasa want wenyewe kwa makubaliano napo hataki Sasa sijui Kama anaeleweka.
 
Atafutwe akamatwe popote alipo. Mzururaji huyo hana kazi anafanya nini mjini
 
Atafutwe akamatwe popote alipo. Mzururaji huyo hana kazi anafanya nini mjini
Jama jama msimkurupushe na mawe kiasi hicho binadamu mwenzenu sijui kwa nini naota atajapewa nafasi pendwa kumbuka zipo kumi tuwape muda
 
Yeye kawa mzururaji huko mwanza,ukimkuta mitaa ya bonasera kavimbisha kalio lake
 
Dunia ina over speed jamani daah sio kwa mwendo huu, sijuzituhapa!!!!!!.
 
😂
 
Jamani ikiwa Sabaya kameza 30 huyu zero brain asiyekuwa na vyeti anaachwaje ase !!!

Mbona itakuwa sio haki kumuacha huyu mtu

1. Armed Robbery Clouds FM
2. Vyeti Feki
3. Njama za Mauaji (Makazi ya Wabunge Dodoma)
4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…