RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Hahaha
 
Bashite alikuwa Hana Akili kichwani
sijawahi kuona mtu mburura kama bashite tangu nizaliwe, amekuwa mfano mzuri sana wa watu wanaotumia nguvu badala ya akili. na watu wanaotumainia vyeo, wanadamu na pesa...huku wakinyanyasa wengine. sasaivi Mkua wake wa DSM anamiliki Makala ambaye enzi zake alitupwaga nje. sasaivi yeye hata asipooga hafukuzwi dsm na anakuja tu mjini kutembea hata kama anakuja kwa kujifichaficha, maisha ni kitendawili. alikuwa anaamini nchi hii ni milki yao, baada ya kushindwa kuteuliwa kugombea kigamboni, alikuja DODOMA, siku moja niko na dogo mmoja alikuwa anazungukia viwanja vyake pale dodoma anasema walipokuwa kwenye gari alikuwa anatamba ati watu wanamcheka kwasababu ameshindwa ubunge, wasubiri atakapoteuliwa na jiwe kuwa waziri ndio midomo yao itakuwa wazi. kufumba na kufumbua, Mungu akafanya aliyoyafanya kwa jiwe, akabaki mdomo wazi yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…