RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Ukipiga nyungu siku nzima kijingajinga inaleta wendawazimu si unaona
 
Chadema wamedanganya Watanzania wanajifungia Leo hii wanaonekana dar wakila bata

Makonda kamata hao wachumia tumbo wakae selo
Una juhudi sana, unaitendea haki 7000 yako.
 
Nawe si ni "democrat"!?
Viongoz kama hawa ndo tunaowataka ktk nchi yetu, wenye misimamo bila kuogopa biandamu mwenzie ambaye ameumbwa kwa udongo na muda wowote ambao hajui anaweza kufa.

Hatutaki viongozi wanaojitakia mambo, na kutengeneza hoja zilizojaa chuki, go on Mheshimiwa Makonda, m naweza kufanya kazi na mtu kama huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati nilisema hawa watoto wakiachwa waendelee hivi,kuna siku wata chukua wake za watu kwa nguvu.Ujinga,kiburi utaingiza Nchi kwenye machafuko.Nime kumbuka kesi hii,Republic vs Saidi Mwamwindi ya mwaka 1972.Said Mwamindi alimuua RC Wilbert Kleruu
Lema ameshakata tamaa!

Sijaelewa kwanini amemkumbuka muuaji hatari Mamwindi wa Iringa!
 
Wewe ni toilet paper ya lumumba na matumizi yake siku zote ni ya aina moja!Endelea kuwa kitakasa uchafu wa wakubwa zako!
Tumewazoea misukule ya ufipa kwa kupayuka payuka [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Hivi kumbe bado yupo Huyu mkuu,
Kawa kimya sana au aliacha ubunge .?
 
Ni swala la Muda tu Cheo ni Dhamana.. Ipo Siku Watashanagaa, Kama Miamba ya Dunia hii "Hussein Mbarack" wa Misri Yalimkuta. Je Sembuse hapa kwetu... Time always is a great teacher.
 
Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
CCM hamna akili unajua marehemu Mh Ndassa alifika mpaka mlango wa Bungeni akakataliwa kuingia joto lake lilikuwa 39 ...na nyie CCM mlivyokuwa na roho mbaya hamshindwi kuwawekea wabunge wa Chadema virusi....
 
CCM Ilishajifia wanatapa tapa tu, Akili za mwenyekiti wao zinawambia CCM itafufuka pale tu watakapo iua CHADEMA kwa gharama yoyote ile.

Watashindwa na kulegea...

CHADEMA Ipo na itaendelea kuwepo.

✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
Back
Top Bottom