RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Ni hisia zako tuu.
Kumbuka kipindi hiki tutasikia mengi,kabla hujakubali au kukataa jitahidi kutafakari
Tunaweza tusiwe na ushahidi lakini tunaweza kutumia common sense:
  • Mosi, ni kweli kipindi cha SHILAWADU kinarushwa Clouds kila Ijumaa usiku!
  • Pili, ni kweli kuna clips zinasambaa huko instagram zikimuonesha Soudy Brown akimuhoji mwanamke mwenye mtoto anayemtuhumu Gwajima kumzalisha!
  • Tatu, ni kweli hicho kipindi jana hakijarushwa Clouds pamoja na ukweli kwamba ni ubuyu mzuri kweli kweli kwa wafuatiliaji wa kipindi!
Tutafakari:
  • Kwanini Clouds hawakurusha hicho kipindi?! Hapa hatuoni inafanana na hoja ya mleta mada kwamba walishindwa kurusha kwa sababu walikuwa hawaja-balance story?
  • Le Mutuz, mtetezi mkuu wa Makonda ameanza kusambaza moja ya hizo clips 6 hours ago!! Hapa huoni inafanana na madai kwamba Makonda ndie amezitoa mwenyewe? Manake, hata ukienda kwenye akaunti ya Soud Brown na hao SHILAWADU, hizo clips hazipo lakini kwa Le Mutuz zipo!!!
Linalonipa taabu kuamini ni hilo la kwamba Makonda aliingia na askari lakini mengine mengi yanaelekea au yanakaribiana na ukweli!!
 
Hzo camera footage za makonda akiingia clouds fanya kumrushia dada mange ili atupe ubuyu vzr,nadhani itakuwa msumali wa mwisho kwenye jeneza lake[emoji41]
 
Sasa naamini kuwa mkulu na Daudi no washirika. Kitendo chake cha kupiga simu nakusema anapenda kuangalia kipindi cha Shilawadu ili kuwa ni kukipromote kipate watazamaji wengi kabla hawajashusha mkakati wao.
Daud kamshika vibaya mkulu, na anamwingiza kwenye mambo ya kijinga atakayojuta sana.
Kama ni kweli katumia askari wenye silaha basi lazima ana kinga ya juu ndio maana hana hofu ya Sirro kutumia vijana wake kufanya ujambazi huo
 
Hilo swali kawaulize shilawadu na shabiki wao wa magogoni
 
Kwa kifupi Sakata la Bashite ndio kwanza limeanza tena.....Yani Movie ndo inaanza..


Huyo Gwajima sijui kesho itakuaje...Mambo yameanza upya
 
Anaenda BAKWATA kuombewa kwa jina feki la Paul Makonda lakini Gwajima anaomba kwa jina la Daud Bashite ndiyo maana watu wamemganda wanataka vyeti hata walete Majanga ya tetemeko la aridhi watu hawabanduki kwenye mada ya vyeti.
Sijaelewa unamaanisha nini hasa!! NI kwamba unatuambia akitaka dua za BAKWATA zifanye kazi awaambie tu ukweli kwamba anaitwa Daudi Albert Bashite wa Kolomije; au??!! Kwamba, dua za BAKWATA huwa zinapiga tantalila huku na kule kumtafute Paulo Christian Makonda lakini hazimuoni na hivyo zinaishia kuyeyuka tu; au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…