RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU


Unauhakika habari sio za kweli na za kichochezi? "Evil succeeds when good men do nothing" - Edmund Burke. cha msingi fuatilia kujiridhisha. Nyakati hizi mitandao ndio source ya uongo na ukweli vile vile hasa ule ambao ni vigumu kuupata kwa "mainstream media"
 
Ndio maana akakimbilia Redio Uhuru ambayo sijui kama ina msikilizaji..kwa vitendo kama hivi ndio unagundua kwamba Bashite alipata sifuri
 
I see..

Imbombo ngafu......

Tupeni footage ili tuone na tuthibitishe, isije ukawa unamsingizia mkuu wetu wa mkoa..
Footage ndio itakata mzizi wa fitna..... ila si shangai kama mzee Warioba alipigwa roba na kijana huyo so si ajabu kutenda hayo!!!
 
Mkuu hapana unakosea hii ni Armed Robbery ya wazi acha kutetea kumbuka maelezo ni kwamba wameshinikiza kupewa hiyo dvd kwa nguvu huku wakiwaonesha smg kwa mujibu wa mtoa mada inakuwaje kutishia pekee
 

Tunaomba mtuwekee cctv footage ya tukio. Hapo inabidi huyo Makonda akamatwe na aeleze hiyo private militia yake yenye SMG ni akina nani na je wana permit gani?
Tuache kucheka au kutetea mambo kama haya!
 
Same to me. Nilikula block ikabidi nifungue nyingine.
hata mimi....!! Haa ha ha..kipindi hicho namtetea Bashitee..nkala block...nkafungua acc nyingn[emoji23] [emoji23] [emoji23] nkamfollow maana Mange kwa Ubuyuu khaa..[emoji28] [emoji28] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Mkuu hapana unakosea hii ni Armed Robbery ya wazi acha kutetea kumbuka maelezo ni kwamba wameshinikiza kupewa hiyo dvd kwa nguvu huku wakiwaonesha smg kwa mujibu wa mtoa mada inakuwaje kutishia pekee
Sawa lkn hakuna risasi iliyopigwa. Ila unyang'anyi wa kutumia nguvu upo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…