RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Screenshot_2017-03-18-13-19-20.png


Swissme
 
Clouds acheni upimbi, hakuna haja ya kujisafisha, vuneni mlichokipanda, na mtu wenu anatakiwa aombe msamaha la sivyo mambo yote hadharani
 
Mungu onekana. Wewe peke yako ndiye uijuaye kweli. Mpe haki yake mwenye haki ee Mungu Mwenyezi.
 
daah ila huyu ma!nge aombage asije kukama.twa akiwa hai aisee make raia nahisi watamch!una ngo!zi na watalazimisha kuivaa mbele yake, sio kwa upumb.avu anaoufanya
 
Makonda oyeeeee


Naona ya mwaka huu ni kali, kweli watu wameguswa jamani.

Mh. Magufuli aongeze sheria mpya nchini, cha moto kiwasombe watu jamani.

Sababu hadi leo issue za Mh. Makonda hakuna aliyesubutu hata kwenda geti la Ikulu kumshitaki.
 
Back
Top Bottom