RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Unajua tupo kwa issue Hot sana. (BASHITE)...imefanya kwa mara ya kwanza nimeenda kwa page ya shilawadu kwa kweli sijaona post ya uyo mdada..inanipa nianze amini post yako mzee..hii ngoma ipo beyond SHILAWADU
 
0fd1b304ec05d465a971e06cd0958735.jpg

mange kimambi heshima kwako

Ifungulie uzi wake specila kwamba huyu ndo soudy brown
 
hata mimi....!! Haa ha ha..kipindi hicho namtetea Bashitee..nkala block...nkafungua acc nyingn[emoji23] [emoji23] [emoji23] nkamfollow maana Mange kwa Ubuyuu khaa..[emoji28] [emoji28] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kwahiyo bado unamtetea tu au ushaacha?
 
JPM asipochukua hatua mapema huyu Daudi atamaribia nchi na trust kwa wananchi wengi sanaa pamoja na dola nzima!! Itaonekana anamtuma na yeye anafaidika kwa anayofanya hasa blackmail alizoanzisha kujitajirisha!!! Naamini Kusaga atakuwa ameomba audinece na JPM kulalamika kwa hilo!! Sio sawa kabis kufanya alivofanya!!! Uzuri kuna camera ambazo feeds zote zipo! Ni aibu sanaa anatakiwa amtoe haraka ameshapoteza moral authority
kuna uwezekano mkubwa sana kwamba huyo daudi na mkuu wana ushikaji fulani wa ndani zaidi ya kazi. hasahasa inawezekana daudi anayafahamu mahusiano ya kimapenzi na ya umiliki mali ya bosi wake tena yeye akiwa kama kiungo. ukikuta bosi ana urafiki wa aina hii na mmoja ya walio chini yake basi humlinda kwa nguvu yoyote ile. na hadi aje kumtupa basi inakua ni baada ya shughuli pevu sana. nimeshayaona mambo ya aina hii. unaweza kukuta huyu anatumika kama kiungo kwa mademu wa jamaa hasa kwenye upelekaji wa pesa na vitu kama hivyo. ukimya wa jamaa ukijumlisha na kiburi cha dogo sasa mimi vinanishawishi nianze kuhisi uwepo wa urafiki wa aina hii kati ya jamaa na dogo. you can trust me in that. maana ukabila tu hauko hivyo. mahusiano yangekuwa ni ukabila tu basi huyu angeshatumbuliwa maana kashfa zimekua too much. kitwanga ndiye walikua wamesh9ibana sana na mkuu hasa juu ya ukabila lakini sakata la lugumi halikufikia makali kama ya bashite lakini kitwanga akatumbuliwa.
hawa wana zaidi ya ukabila. trust me.
 
Wacha mh amkumbatie kipenzi chake bashite. Lakini wahenga wamenena kuwa mchelea mwana kulia, mwishowe hulia yeye
Hizo ndizo hesabu kukataa,cloués hwatoki pia km mwakyembe dans laana nyingi. Sa sa nao wachague kumtosa mtoto sa mungu au sale chachu ya watanzania.
 
Ha ha hii yote ni kwasababu ya Mange kule Insta... naskia katoa masaa 24 ya habari Ile ya Sdy Brown ikanushwe lasivyo yafwatayo ni makubwa..........
 
Sijui kama unajua makonda ni mtumishi wa uma,? Mwananchi anapomshuku kiongozi amefoji vyeti, kiongozi ndo anawajibu wa kukanusha tuhuma na kuweka vyeti og hadharani ili kujisafisha"
Hili la bashite litamtokea puani tu, hana vyeti" angekuwa navyo na anavopendaga sifa...we unafikiriaje!? Angevionyesha kitaaambo.
Sio lazima kuonyesha cheti kwa wananchi hakuna sheria inayomlazimisha zaidi ya utashi wa mtu kama mtu ana wasiwasi na uhalali na vyeti vya kiongozi aende mahakamani na ushahidi.

Huwezi ukathibitisha hana cheti kwa sab amekataa kuonyesha mahakama pekee yenye mamlaka hiyo.
 
Vita ya vyeti haina chama tena wengi wanaodai vyeti ni CCM wenyewe umesahau kuwa juzi Dodoma mmewafukuza CCM kibao kwani JF hawapajui?
Waende mahakamani hapa ameshakataa kuonyesha. Tafuteni plan b
 
Back
Top Bottom