RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

hakun anayechoka,energy ipo kubwa sana na neno linasambaa kama nyasi mimi mwenyewe kila siku vijiweni nasambaza habari kwa raia na wanaanza kuelewa uozo uiopo kwenye awamu hii inayojifanya ya wanyonge
Naongolea kujichosha kudai cheti.
 
Naunga mkono hoja kuna kitu kimejificha hapo ipo siku mange kimambi atakijua na kuanika Ukweli wote live.
 
Sasa kama ni hivo..wale wafanyakazi wengine waliosimamishwa kazi kwa kutokuwa na sifa ( vyeti) ni nani alienda kushtaki!? Tumuunge mkono raisi kwenye zoezi la uhakiki mpaka tuwatoe vilaza wote"
Msumeno....umegeukia upande wa pili, mtajificha mpaka kwenye vivuli vyenu wenyewe!
 
hakun anayechoka,energy ipo kubwa sana na neno linasambaa kama nyasi mimi mwenyewe kila siku vijiweni nasambaza habari kwa raia na wanaanza kuelewa uozo uiopo kwenye awamu hii inayojifanya ya wanyonge
Pesa yote ya kubana matumizi, safari za nje nk sasa inatumika kwenye mambo ya hovyo hovyo ndiyo maana hakuna maendeleo wala shilingi haipandi thamani dhidi ya dola, pesa nyingi imeelekezwa kwenye matumizi ya kuwalinda CCM Zanzibar, Lipumba kudhoofisha ukawa na kuua CUF, kugawa pesa kijijini kolomije ili kuficha ushahidi, awamu hii ya 5 imejaa vioja vitupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona wanajitetea baada ya mange kusema anaenda kuanika machafu ya maboss wa clouds FM naona wameanza kupiga propaganda
 
Very logical, but mission failed.
 
Waliofukuzwa kazi kwa kisa la vyeti feki wote warejee kazini kwani sasa ni ruksa kuwa na vyeti feki kwa kivuli cha Daud magufuli
 
clouds km wanamtosa au wanakuwa nae hakuna option rahisi. Kwa sa sa wanunue calculator hesabu haziendi kirahisi. Ingawa kumtosa ndio njia ils watabidi walipue kila punje waliyoipata
Na kuwekeza ccm. Ni km kuanza moja.Réaction y'a baba na mwana haina mipaka wala njia y'a kutokea.
 
Gwajima kuzaa na mwanamke mtoto si not a big deal
Kwanza mwanaume kuzaa ni dalili ya lijali zaidi na si dhambi, cha Ajabu makonda hana hata mtoto wa kusingiziwa mpaka leo mkewe hazai wala yy hana mtoto ni Aibu jitu zima mpaka leo halina hata mimba za kupachika kwa Bahati mbaya kachepuka na kajala wakati mmewe akiwa jela lakini alishindwa kumpa mimba.
 
Wale waligundulika baada ya zoezi rasmi la kuhakiki vyeti kutangazwa nida walitembelea taasisi zote wengine waligundulika baada ya kuonekana watu wawili wenye jina moja wakipata mshahara kwahiyo walimsimamisha mmoja akijitokeza wanamhoji.

Serikali imefanya hivi kwa watumishi ambao wako kwenye sheria za utumishi wa umma tu ambao vyeo na madaraja yao yanapandishwa kulingana na elimu na taaluma zao. Zoezi hili halikuhusisha wateule wa rais na wanasiasa kwa sab elimu haitumiki kama kigezo cha kupata uteule kuchaguliwa n.k

Watu hao ni wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wabunge na madiwani ndio maana watu hao wana elimu tofauti katika cheo kimoja.

Hivyo makonda na wakuu wa mikoa wote uhakiki hauwahusu kwa mujibu wa zoezi lenyewe. Kwahiyo hakuna logic kwanini ahakikiwe makonda tu?

Pamoja na kwamba zoezi la uhakiki halifanywi kwa wakuu wa mikoa haiwapi ruhusa ya kufanya kosa la jinai kama la kughushi cheti na kuachwa hivi hivi kwahiyo kama kuna mtu mwenye ushahidi kuwa makonda amefoji cheti kwa kuwa ni kosa la jinai aende polisi necta au mahakamani na ushahidi ili mashitaka yafunguliwe ushahidi usikilizwe na maamuzi yafanyike. Kama kweli ikithibitika pasipo shaka makonda kafoji cheti afungwe tu kama wengine na kama ikiwa kinyume chake awe clean. Lkn kwa njia ya kudai cheti akilete mtandaoni au kwenye media ni utashi wake tu kukubali ama kukataa kwa sababu hakuna sheria inayomlazimisha kufanya hivyo wala kumzuia asifanye hivyo.
 
Waliofukuzwa kazi kwa kisa la vyeti feki wote warejee kazini kwani sasa ni ruksa kuwa na vyeti feki kwa kivuli cha Daud magufuli
Na hili mh raisi wala hakumung'unya maneno, aljsema wazi kabisa akuna kilaza ataesalimika na zoezi ni endelevu. Mh. Rais kama ulivomtumbua kitwanga kwa ulevi wa pombe, huyu nae ni mlevi wa madaraka ni wakati wa kumtumbua sasa, hakuna namna tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…