RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Kuna jambo
 
Kwani kuzaa na mwanamke kisha kutokana na jambo flani msioane ni dhambi?. Nchi hii tumefika pabaya sana. Maendeleo ya viwanda tutayaongelea lini? Uchumi wa viwanda ni lini?
Kuzaa na mtu ni kheri kabisaaaaaaaa ila kufoji vyeti ni wizi na anastahili kufungwa
 
Rusha hiyo clip jinsi makoda alivyokuwa clouds. La sivyo hii itakuwa udaku tu

Mbele mitutu ya bunduki 8 na povu la Bashite, unadhani ingekuwa rahisi kurekodi video?!
 
KM KAFIKIA HATUA HIYO BALSHITE THIS IS TOO RIDICULOUS. .....NDO SHIDA YA WATU AMBAO I.Q YAO NI NDOGO & DAUDI MUST GO.......
 
Uongo utaujua tu
hii ni story ya Wauza madawa haha
kuunga unga
 
Reactions: SDG
Ukicheza na Mbwa ataingia mpaka sehemu ya Ibada,huyu bwana si kutwa anaonyeshwa huko Clouds sasa leo imekuwaje anataka awazowee watu kama nguo ya ndani mpaka wafanye anavyotaka yeye,kwanza yeye nani? na clouds kiyasi awapande kichwani mlikua mna mshau sanaa,angekua na vyeti asinge fanya ufukunyuku huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…