RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Ndugu yangu nakupigia magoti ,jaribu kutumia japo theluthi ya akiri yako......Bado unabishana na facts kisa tu umtetee makonda ?????kweli,kweli ,umeamua kujitoa ufahamu?????? So sad broooo
Huyo jamaa ni kiazi.....ndio maana huwa kuna div 0 mashuleni
 
This is too much kutoka kwa Makonda, na wanajeshi kabisa kulazimisha kipindi. Huu ni upumbavu wa hali ya juu
 
Wabongo bwana...

Tutajuaje kama hapo ni ofisi za Clouds media...
Tutajuaje kama ndio alikua ana kwenda kumchafua Gwajey na sio siku zingine za nyuma...

Kivideo chenyewe Robo lita.
 

Jana tulisema hapa kwamba Kuna habari za Makonda kuvamia Clouds. Watu walikataa na kutukana sana bila kuvuatilia. Haya nendeni Instagram Mange kawawekea Ushahidi.

Yani Makonda anatumia vibaya sana madaraka yake. Mh Rais Please, stop this Man.
 
Ebanaee,mi nlidhani ni story ya kutengeneza,kumbe hili jamaa ni zwazwa wa level hii.sasa alishindwa nini kuwatuma polisi akaenda mwenyewe fronti akijua kabisa kuna makamera yatakayoweza kumrekodi?.Sasa naamini kweli jamaa ni kilaza na anaweza akawa amefoji vyeti.
 
Na ndio lengo la kuja yeye usiku ili wengine msijue,mgejua kuna wstu wangesema na wengine hata picha kupiga. Mtu kaja na askari unadhani alikiwa na lengo gani. Hebu acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…