RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Hulka ya ngamia ni moja ukimkaribisha kwenye kibanda chako jangwani ili apate ahueni ya jua kali la jangwani tarajia kifuatacho... Hataingiza kichwa tu ataingiza mwili wote na kukifumua kibanda chote.... Huyu ndio ngamia mkaribishe kwa ukarimu lakini tarajia haya
Kuna Mabinti wengi kweli leo wanajuta kwavile walirubuniwa wakarubunika walipoambiwa NAINGIZA KICHWA TUU....(Kwani uliambiwa ina mabega ile) matokeo yake ilizama yote na kilichofuata ni mengine makubwa yasiyotegemewa... !
Kila tokeo baya ni tunda la uovu... Ambush iliyofanyika clouds media na askari na wanajeshi wenye silaha za moto ni kitu kigeni kabisa kwetu, na si tukio la ujambazi la hasha ni kiongozi mkubwa akitaka matakwa yake yatimizwe
Kila jambo na wakati wake juzi ilikuwa furaha mkamshangilia mkamakaribisha kwa mbwembwe zote na kummwagia maji,leo karudi na mitutu
Poleni clouds media... Kila mchuma janga....
 
Wanao sema jamaa alizungusha wako sahihi. Huwezi kuwa rc ukawa mjinga kiasi kile ni aibu. Je? Mh. Rais anajifunza nini kwenye hili??
 
Maskini Magufuli kamng'ang'ania Makonda/Bashite wakati mwenzake kichwani kweupe anazidi kumchafua.

Ila nilichopenda kwa Makonda kawafanyiwa Clouds haohao waliyo bega kwa bega na yeye.
 


Na wewe pia


Makonda oyeeeeeee
 

Umeshaambiwa watu walikuwa na bunduki na jamaa hapo ndio kijiwe chake mara kwa mara na hata alivyokatwaliwa nini kilichotokea..
 
Alafu hii ishu aliipanga na mkulu...sio Bashie pekeyake....maana haiwezi kuwa rahisi hivyo mkulu kuisifia shilawadu...in a week kikaja kioja hicho....mkulu alitaka watu tuamini habari za shilawadu...na tu-draw attension kwa habari za vipindi hivyo.

Shame on this uongozi

Kweli bana, footage iko kwa instagram bishop gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…