Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Mungu wangu! Mbona magu anakubali kudhalilishwa hivi? Dah, this is too much.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama muvi is ova basiSasa movie is over!
Bashite amenaswa kwenye kamera za CCTV za clouds tv akiwa amevamia kituo na polisi na kulazimisha kurushwa hewani mkanda wa kutunga unao mwonyesha mama aliyezaa na Gwajima?
Clip hiyo sasa imenaswa na Mange na inaonyesha kila kitu
Atatokea wapi ktk sakata hili jipya?
The movie is over
The end
Namsihi Mhe Rais amtafakari sana RC Makonda kwa nafasi ya uRC kuwa anapwaya sana na kama ni uchapakazi ampeleke kwenye kuzaliwa mazao ya kilimo mikoa ni mingi kama SIMIYU n.k.
Amesomea uvuvi haramu. Amnunulie nyavu akavue....ng'ombe kabisaNamsihi Mhe Rais amtafakari sana RC Makonda kwa nafasi ya uRC kuwa anapwaya sana na kama ni uchapakazi ampeleke kwenye kuzaliwa mazao ya kilimo mikoa ni mingi kama SIMIYU n.k.
Mbona unatetea wewe ni CCM???Wale si JWTZ ni walinzi maalum sare zao zinafanana tu.
hata mimi nashangaa mkuuJWTZ inachezewa na bashite kama mgambo, hii ni aibu kwa sizonje na mkuu wa majeshi
Hao clouds hadi kuitoa hiyo clip wamepima kina cha maji na kugundua hawatovuka salama... Gwajima lazima angewapa kombora za kutosha bila kusahau clouds kupewa jambajamba na Mange kimambiHapa ndio ninapowapenda clouds.na ndio wanapowazidi wengi;Biashara kwanza. Chochote kinachotishia biashara yao wanajiweka pembeni kidplomasia. Well done.
Chama cha waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari naamin hawatakaa kimya. Serikali ifanye linalotakiwa kujitenga na aibu hii. Kama ni wa muhimu atafutiwe nafasi chamani. Utumishi wa umma amechafuka sana.