RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Sasa movie is over!

Bashite amenaswa kwenye kamera za CCTV za clouds tv akiwa amevamia kituo na polisi na kulazimisha kurushwa hewani mkanda wa kutunga unao mwonyesha mama aliyezaa na Gwajima?

Clip hiyo sasa imenaswa na Mange na inaonyesha kila kitu

Atatokea wapi ktk sakata hili jipya?

The movie is over

The end
Kama muvi is ova basi
[emoji116]
2a4331408cd0b8501504439d6f79abd1.jpg
 
Sidhani kama hao ni JWTZ, JWTZ haiwezi kuwa mgambo
 
Namsihi Mhe Rais amtafakari sana RC Makonda kwa nafasi ya uRC kuwa anapwaya sana na kama ni uchapakazi ampeleke kwenye kuzaliwa mazao ya kilimo mikoa ni mingi kama SIMIYU n.k.
Amesomea uvuvi haramu. Amnunulie nyavu akavue....ng'ombe kabisa
 
Sikuwahii dhana hii ishuu itafikaa huku Mpaka Kubebeana Mitutuuuu....Khaaa!! Aiseee this is beyond the limit....Unachopewa Mkulu na jamaaa ni hatariiii....
 
TUNAMUONEA HURUMA KAMANDA SIORRO BILA SABABU, THINK ABOUT IT JAMANI,HAWA WATAKUWA WANAPIGA DEALS PAMOJA,POLISI WAKE WANAENDA KUFANYA USHENZI HUU USIKU KULAZIMISHA KITU KIRUKE HEWANI,MTUHUMIWA MMOJA BAADA YA KUTOA CARD YA GARI KALALA SIKU MOJA CENTRAL,YAANI IJUMAA JUMAMOSI KATOKA WAKATI KINA WEMA WAMEKAA PALE SIKU 7 KISA WAMEKATAA KUTOA PAPUCHI
REJEA PIA MAZUNGUMZO YA SIMU YA STEVE NYERERE ANASEMA KUNA JAMAA MMOJA MMILIKI WA MA SEMI TRAILERS ALIKUWA ANAMLA WEMA KWA KUUNGANISHWA NA STEVE NA YEYE ALIWEKWA NDANI SIKU 4 KWA AMRI YA BASHITE(ALIONA WIVU)
vIPI MADAI YA WEMA KWAMBA JAMAA ALIKUWA ANAENDA KUWAKEBEHI HUKO CENTRAL USIKU?
HII NCHI HAINA CHA UTAWALA BORA WALA NINI,USANII MTUPU
KAJAMAA KATAKUWA KA WAKALA CHA WAKUBWA KUKUSANYA HELA ZA RUSHWA KWA WAFANYABISHARA NA KUWAPELEKEA SIO KWA KIBURI HIKI.
 
Poleni sana pia hongereni kwa kufuata utaratibu wa kazi yenu aminini kuwa Mungu yupo pamoja nanyi na ataendelea kuwalinda kwa lolote baya.
 
Hapa ndio ninapowapenda clouds.na ndio wanapowazidi wengi;Biashara kwanza. Chochote kinachotishia biashara yao wanajiweka pembeni kidplomasia. Well done.
Chama cha waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari naamin hawatakaa kimya. Serikali ifanye linalotakiwa kujitenga na aibu hii. Kama ni wa muhimu atafutiwe nafasi chamani. Utumishi wa umma amechafuka sana.
Hao clouds hadi kuitoa hiyo clip wamepima kina cha maji na kugundua hawatovuka salama... Gwajima lazima angewapa kombora za kutosha bila kusahau clouds kupewa jambajamba na Mange kimambi
 
Back
Top Bottom