RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Mkuu footage imekuvua nguo live.
Au na huyo watasema si yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sichek kwa furaha bali masikitiko
kwamba nchi inaenda kubaya na siku zote kwenye familia baba ukiyumba na familia imeyumba ..baba uki messed up ...na familia itakua messed up
 
Kuna mijitu ilikuwa inamtetea anajifanya anaombewa MUNGU hadhihakiwi sasa ndo ataelewa anamuharibia adi rais sidhani kama huu uongozi utadumu.Eh Mungu muumba ardhi n Mbingu fanya lililo haki maana huyu raisi wetu ametupiwajini kipofu,bubu na kiziwii na Daud Bashite,amen.
 
Hahaaaa mkuu mshana nimependa andiko lako, kumbe bashite kawadanganya anaingiza kichwa ndio kazamisha mabega hadi limgongo [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Kwahio umemaliza hivyo nawewe unajiita great thinker

Mods thread za namna hii zinatupotezea muda humu ni heri zifutwe......JF inageuzwa kijiwe rasmi cha UONGO
uongo gani huoni hiyo video?
au kwasababu ameguswa mwana lumumba mwenzio
 
Wewe ni b12, diva, au soudy mwenyewe? Twambie
 
Ndo shida wa kuongozwa navijana alihisi anamkomoa gwajima
 
hao maaskari nao wapuuzi wwnakubalije kutumika ovyo ovyo
 
Hii kitu inafikirisha, hongera kwa kuwa na cheti...
 
Inatia aibu na ukakasi kwa mtu kama bashite kukimbilia kwenye nyumba za ibada na kusema aombewe tena kwa kulia. Viongozi wa dini walimbeba kumbe nao waliingia mkenge.
Yaani ndio kinachozidi kuniduwaza.....

Vita dhidi ya madawa ya kulevya kumbe ili avune mali zao,

Dunia ina mambo.
 
huyu jamaa atatumia dola kuwaangamiza maadui zake. Magu sijui kafanya nini na huyu bwana mdogo aisee . ushaidi wrote huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…