RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Kawa uchi huyu!sasa Lumumba team hadi mda huu hamna crip ya clouds Jana? Sasa humu mnahara nn?
 
Hivi ni halali hii habari kuwekwa humu? Kwani Makonda ni celebrity? Basi sawa maana na huku tumeifuata. Hatujafuata jukwaa bali tumefuata habari! Tupo na Bashite.
Mkuu heshima kwako.....

Hii habari ilistahili kuweka [HASHTAG]#Jukwaa[/HASHTAG] la siasa na sio huku. Sijui ni kwanini wameificha humu
 
Hii series nahisi ina episodes 20 halafu huwez kuamini ndo kwanza tuko ya tatu.. Jana nimecheka Sana yule Dada anayedai kuzalishwa na Gwajima ETI mtoto mjanja mjanja kama Gwajima asee. Ulimwenguni raha sana
Hahahaa..... Wafuatiliaj mbona tupo tumejaa tele, wao waendelee tu.
 
Alienda kupindua nchi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yote hayo chanzo ni yule mkazi wa jumba jeupe,aliwajengea kiburi
 
Naona video ya pili imetolewa ikionyesha askari wanne huku watatu kati yao wakiwa na mitutu ya SMG ambapo wawili ni mabaka na wote wana mitutu, wawili ni polisi huku mmoja akiwa mwanamke ambaye amebeba mtutu... Hatari tupu!!!

Pengine waliokuwa wanapiga mitama ni hao mabaka!! Si unajuaga tena??
 
Kama habar ni ya kweli,kosa ni la Clouds Media si la Makonda (Bar Shite)
Wajitathmini
Clouds kosa lao lipi?! Wao wamepata taarifa kwamba kuna habari na hawakulazia damu! Baada ya kuona habari imekosa sifa za kuirusha; wakagoma kuirusha!! Na hata walipoendewa na askari; bado hawakuirusha!!

Sasa hapo Bashite ndo mwenye kosa kwa 100%!! Tuseme hakwenda kuwalazimisha... sasa alienda kufanya nini usiku wa saa 5!!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…