RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Naona video ya pili imetolewa ikionyesha askari wanne huku watatu kati yao wakiwa na mitutu ya SMG ambapo wawili ni mabaka na wote wana mitutu, wawili ni polisi huku mmoja akiwa mwanamke ambaye amebeba mtutu... Hatari tupu!!!

Pengine waliokuwa wanapiga mitama ni hao mabaka!! Si unajuaga tena??
hiyo iko wapi mkuu! naomba uipandishe pls
 
Clouds wameogopa kuvuliwa nguo na mange aisee! Zile nondo za jana za wakurugenzi leo ingekua aibu Iyo clip ya cctv mtu wa nje anaipataje watakua wameona bora kujisalimisha kwa mange kuliko kukitia kituo chao aibu, inimical chatu ipo siku atakugeuka! Single touch double manifestation[emoji23][emoji23]
yule dada anatisha mkuu! sio kwa bit lile la jana alilowapa
 
Back
Top Bottom