RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Dah..Jamaa kamfanya Soudy hana amani kabisa...yn mpaka kaweka account yake private..

2017-03-19+11.08.png
 
clouds wanajisafisha baada ya kuona walipopagusa ni hatari, coz hakuna aliyepambana na gwajima akashinda vita
 


bashite umetangulia mbele angalia sasa polisi na wanajeshi wako wanahangaika kufungua mlango huo wa kupandia ngazi za kwenda juuu kwenye tv,hahahaha kamanda sirro polisi wako wanatolewa ushamba na mlango jamani
Nje naona kabaki aliyevaa kiraia sijui ndo usalama wa Taifa...hehehehehehe Mungu wangu
Asante Bashite kila siku unamuacha mfalme uchi
 
Mkuu wa Mkoa
Usiku saa nne na dakika zake
Kwenye kituo cha habari
Na askari wakiwa na Silaha mkononi
Halafu bado mtu anatetea.

Mnaomtetea tuambieni maana ya hilo tukio la usiku.
Kamanda Sirro pia atuambie anajua kua askari wake alikua clouds usiku?

Na huyo magwanda kiongozi wake atuambie.
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Mimi kwangu ni kuhusu hao JWTZ . Tushazoea kuona PolisiCCM wakifanya kazi hizo but hao Jwtz imekuwa wamekuwa too low mpk wanatumika na huyu jamaa. Jeshi liko wapi kutoa tamko kwa hii ishu. Hawa so wanatakiwa wawe wanalinda mipaka ??
 
[QUOTwanajenga go, post: 20226424, member: 30001"]Mimi kwangu ni kuhusu hao JWTZ . Tushazoea kuona PolisiCCM wakifanya kazi hizo but hao Jwtz imekuwa wamekuwa too low mpk wanatumika na huyu jamaa. Jeshi liko wapi kutoa tamko kwa hii ishu. Hawa so wanatakiwa wawe wanalinda mipaka ??[/QUOTE]
Kuna wanajeshi wanakuwa kwa mkuu wa mkoa, wapo Kila mkoa
 
Back
Top Bottom