RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Je, ni kweli kipindi jana hakikuisha? Kama hakikuisha hii inaweza kuwa ni true suspect
Kipindi hata sijui kilivyoisha maana hata hawakuaga Mara ikaja taarifa ya habari na Harris Kapiga, nikawa nashangaa... Nikajisemea Shilawadu siku hizi haina mvuto. Kama ni kweli yasemwayo naanza kuamini maana kipindi kiliisha kama tuko commercial break
 
Ukisoma baadhi ya post za Shilawadu utagundua kwa nini Makonda alitaka kwenda on air kinguvu...
 
Najua mmeongea mengi sana lakini mkirudi nyuma mtakumbuka kuwa ktk vita ngumu duniani ni ya madawa ya kulvya!.


Yangu macho tu.
 
Ili kujisafisha kwa jamii, clouds warushe hewani clip inayoonyesha wakivamiwa na bashite.
Pia wasitangaze habari yoyote inayomuhusu makonda bali watangaze inayomuhusu bashite.
 
Mkuu mambo kama hya yamezoeleka kwenye Nchi zenye machafuko ambapo kiongozi anaweza kuvamia Kituo cha redio akiwa na askari wenye bunduki sasa leo tunayaona kwetu hii ni hatari Magu na huyu Bashite sijui wana mahusiano gani
Mahusiano yao ni ya ndani zaidi, I mean that is the family matter
 
Tuhuma za Makonda zitazimwa siku akionesha vyeti hadharani na hizi za Gwajima zinazimwa tu kwa kwenda kuchukuliwa vipimo vya DNI.
Hivyo Makonda kama unahusika kwa huu mpango usijipe 100%,na kama pia itathibitika ni kweli Gwajima kafanya hivyo hakukupi haki ya kutoonesha vyeti vyako vinavyosemekana umevinunua.
 
Ngoma ikivuma sana.....
 
Ili kujisafisha kwa jamii, clouds warushe hewani clip inayoonyesha wakivamiwa na bashite.
Pia wasitangaze habari yoyote inayomuhusu makonda bali watangaze inayomuhusu bashite.
Clip zimeendelea kutolewa mwenye mtandao ya kijamii.kama histagram ila Clouds kama watuhumiwa namba moja wanatakiwa watoke mbele kudhibitisha hili.
 
Wale wanafiki wa Bongo Movie uchwara wakiongozwa na yule mzee Steve Magere "Nyerere" maisha yao yanazidi kuwa magumu hapa mjini
 
Ohooooo kumekuchaaa, akimwaga mboga kwa mkono na nyie mnamwaga ugali kwa mguu, ngoma inogile
 
Ukiwa kuwadi nawe lazma utagongwa ivyo clouds mnastahili mulicho fanyiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…