NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu kuna makosa kibao katika kadi hilo.Na mm nimeuliza hilo.. mpuuzi mmoja anajiita Utamaduni.. anatukana hovyooo , nahisi nduguye bashi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kuna makosa kibao katika kadi hilo.Na mm nimeuliza hilo.. mpuuzi mmoja anajiita Utamaduni.. anatukana hovyooo , nahisi nduguye bashi
"Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate uraiskwa kweli nahitaji kujua LeMutuz ana akili timamu au vipi. maana naona amesimama kidete eti anapinga hii video anasema RC alikiwa na walinzi wake wa kawaida kabisa
Ruge ni mhayaHaya mambo (kwa maoni yangu) yanachukua muonekano wa ukabila. Magufuli, Makonda na mkurugenzi mkuu wa Clouds wote ni wasukuma. Nikizidi kuhisi ni kwamba hata cdf naye ni wa huko huko pamoja na mwanasheria wa serikali.
Hivyo basi, kwa kitendo cha bw. Bashite kumtukana yule mama (mwenye elimu nzuri kumzidi) pamoja na kuthubutu kusema ukimwona yeye umemwona Mungu wa Dar bila kukemewa na mamlaka yaliyomuweka hapo alipo ni dhahiri kuna anachojiaminishia.
Ila sasa, kitendo cha kuvamia kituo cha habari na kulazimisha watangazaji warushe kile ambacho Makonda alitaka kiliwatisha wengi na kitakuwa kimwewaudhi wamiliki wa clouds. Hiki kitendo hakina tofauti na UHAINI, yaani pale angeweza kuchukua mike na kuamuru kamera upande wake na kutangaza AMEPINDUA SERIKALI! Kizaa zaa gani kingetokea?
Najua mkurungenzi mdogo Ruge hatokubali, lazima jambo litendeke kuhusu tukio hili.
Nilisemaga humu hakuna neno jema na lenye baraka kama neno samahani lina Nuru ndani yake sijui kwa nini anakuwa mzito kiasi hikiduuh makonda kachanganyikiwa
Inaonekana upo kishabiki kwa kutetea kitu kisicho fichika.Wenzako wamekuwekaa clip inayoonyesha jinsi wanavyoingia wewe unabaki kupinga.Najua mmeongea mengi sana lakini mkirudi nyuma mtakumbuka kuwa ktk vita ngumu duniani ni ya madawa ya kulvya!.
Yangu macho tu.
daah. yaani amenisikitisha sana. kwa kweli anatia aibu kabisa.."Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate urais
Ruge ni mhaya
Kwa staili hii Bashite akiachiwa aendelee hivi, iko siku atakwenda TBC na majeshi wake akajitangazie Urais wa nchi ( Mapinduzi ), let's watch the movies.Kama video ya Clouds CCTV ni ya kweli basi tunafuga viongozi wenye hulka za kundi la Alshabab au Alqaida.
Kuvamia kituo cha matangazo ya Radio na TV huku ukiwa na wanajeshi wenye silaha ili kulazimisha matangazo utakayo yarushwr huna tofauti na kina Shekau kama nao wakipata fursa ya kuvamia kituo.
Kitendo cha RC Dar hakivumiliki na ni cha kigaidi kisichoweza kuachiwa hata dakika moja na serikali makini. Huo ni sawa na uhaini
we umekulia maisha ya kitajiri..? umetoroka umasikini kwenu kyela umepanga hapo buguruni malapa chumba kimoja unajiona bonge la mjanjaTatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
Tuipe jina hii seriesMsimu huu mambo yanazidi kuwa mengi yaani km ni series basi Tupo episode za mwanzo sipati picha mbeleni maana ukigonga huku una gongwa huko.. Tuendelee kusubiri MAPYA hayachelewi kujiri ndo uzuri wa hii movie
Nasikia ana mpango wa kuji RIP.huyu jamaa mtu asipomuwahi akampeleka milembe anaweza kufanya tukio la ajabu hadi watu washangae maana level aliyofikia ni uchizi kabisa