RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

kwa kweli nahitaji kujua LeMutuz ana akili timamu au vipi. maana naona amesimama kidete eti anapinga hii video anasema RC alikiwa na walinzi wake wa kawaida kabisa
"Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate urais
 
Haya mambo (kwa maoni yangu) yanachukua muonekano wa ukabila. Magufuli, Makonda na mkurugenzi mkuu wa Clouds wote ni wasukuma. Nikizidi kuhisi ni kwamba hata cdf naye ni wa huko huko pamoja na mwanasheria wa serikali.
Hivyo basi, kwa kitendo cha bw. Bashite kumtukana yule mama (mwenye elimu nzuri kumzidi) pamoja na kuthubutu kusema ukimwona yeye umemwona Mungu wa Dar bila kukemewa na mamlaka yaliyomuweka hapo alipo ni dhahiri kuna anachojiaminishia.
Ila sasa, kitendo cha kuvamia kituo cha habari na kulazimisha watangazaji warushe kile ambacho Makonda alitaka kiliwatisha wengi na kitakuwa kimwewaudhi wamiliki wa clouds. Hiki kitendo hakina tofauti na UHAINI, yaani pale angeweza kuchukua mike na kuamuru kamera upande wake na kutangaza AMEPINDUA SERIKALI! Kizaa zaa gani kingetokea?
Najua mkurungenzi mdogo Ruge hatokubali, lazima jambo litendeke kuhusu tukio hili.
Ruge ni mhaya
 
Najua mmeongea mengi sana lakini mkirudi nyuma mtakumbuka kuwa ktk vita ngumu duniani ni ya madawa ya kulvya!.


Yangu macho tu.
Inaonekana upo kishabiki kwa kutetea kitu kisicho fichika.Wenzako wamekuwekaa clip inayoonyesha jinsi wanavyoingia wewe unabaki kupinga.
 
Tatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
 
"Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate urais
daah. yaani amenisikitisha sana. kwa kweli anatia aibu kabisa..

kweli mtu mzima anasimama anatetea huu upuuzi. mimi naona nim unfollow tu. siwezi kuangalia ule upuuzi
 
Kama video ya Clouds CCTV ni ya kweli basi tunafuga viongozi wenye hulka za kundi la Alshabab au Alqaida.
Kuvamia kituo cha matangazo ya Radio na TV huku ukiwa na wanajeshi wenye silaha ili kulazimisha matangazo utakayo yarushwr huna tofauti na kina Shekau kama nao wakipata fursa ya kuvamia kituo.
Kitendo cha RC Dar hakivumiliki na ni cha kigaidi kisichoweza kuachiwa hata dakika moja na serikali makini. Huo ni sawa na uhaini
Kwa staili hii Bashite akiachiwa aendelee hivi, iko siku atakwenda TBC na majeshi wake akajitangazie Urais wa nchi ( Mapinduzi ), let's watch the movies.
 
Tatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
we umekulia maisha ya kitajiri..? umetoroka umasikini kwenu kyela umepanga hapo buguruni malapa chumba kimoja unajiona bonge la mjanja
 
Msimu huu mambo yanazidi kuwa mengi yaani km ni series basi Tupo episode za mwanzo sipati picha mbeleni maana ukigonga huku una gongwa huko.. Tuendelee kusubiri MAPYA hayachelewi kujiri ndo uzuri wa hii movie
Tuipe jina hii series
 
Back
Top Bottom