RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

kwa kweli nahitaji kujua LeMutuz ana akili timamu au vipi. maana naona amesimama kidete eti anapinga hii video anasema RC alikiwa na walinzi wake wa kawaida kabisa
"Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate urais
 
Ruge ni mhaya
 
Bashite ni hatari,Scorpion cha mtoto ati.!
 
Najua mmeongea mengi sana lakini mkirudi nyuma mtakumbuka kuwa ktk vita ngumu duniani ni ya madawa ya kulvya!.

Yangu macho tu.
Inaonekana upo kishabiki kwa kutetea kitu kisicho fichika.Wenzako wamekuwekaa clip inayoonyesha jinsi wanavyoingia wewe unabaki kupinga.
 
Tatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
 
"Ukubwa wa mwili si wingi wa akili kichwani" huyu si Le mutuuz huyo anaitwa Le Mjingas njaa ndiyo inamsumbua mpaka anaongea vitu vya ajabu. Nimemsihi aache tamaa kama ya baba yake aliyataka kututia sokoni kwa Wairani kwa bil. 5 apate urais
daah. yaani amenisikitisha sana. kwa kweli anatia aibu kabisa..

kweli mtu mzima anasimama anatetea huu upuuzi. mimi naona nim unfollow tu. siwezi kuangalia ule upuuzi
 
Kwa staili hii Bashite akiachiwa aendelee hivi, iko siku atakwenda TBC na majeshi wake akajitangazie Urais wa nchi ( Mapinduzi ), let's watch the movies.
 
Tatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
we umekulia maisha ya kitajiri..? umetoroka umasikini kwenu kyela umepanga hapo buguruni malapa chumba kimoja unajiona bonge la mjanja
 
Msimu huu mambo yanazidi kuwa mengi yaani km ni series basi Tupo episode za mwanzo sipati picha mbeleni maana ukigonga huku una gongwa huko.. Tuendelee kusubiri MAPYA hayachelewi kujiri ndo uzuri wa hii movie
Tuipe jina hii series
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…