Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Na wale wanajeshi na Polisi ni walinzi wa Gwajima ehhh.....??hii video itakuwa imetengenezwa na Gwajima
Sijatoroka KYELA mjomba , nina hekali 100 za mpunga pale , wiki ijayo naenda kusimamia zoezi la utiaji mbolea .we umekulia maisha ya kitajiri..? umetoroka umasikini kwenu kyela umepanga hapo buguruni malapa chumba kimoja unajiona bonge la mjanja
Main character bashiteTuipe jina hii series
ho ni wahuni wamevaa nguo za jeshiNa wale wanajeshi na Polisi ni walinzi wa Gwajima ehhh.....??
Jeshi ni nidhamu,kwa kitendo cha ushenzi walichofanya hao askari polisi na jeshi ni hatari sana adhabu yao ni kupigwa bomba kichwani na kufumua ubongo tu maana wanaweza hata kuua raisi hao watu kwa akili za kushikiwa za kibashite bashite.Na wale wanajeshi wapewe adhabu
Na mshahara wa dhambi ni .......Tatizo la vijana wengi hawa wanaopewa uongozi , ni yale maisha ya kishamba sana na umasikini wa kutupwa waliokulia , haya yanayomtokea Makonda ni ushahidi halisi wa maandiko matakatifu yanayosema UMASIKINI NI DHAMBI .
"Hiki kitendo hakina tofauti na UHAINI, yaani pale angeweza kuchukua mike na kuamuru kamera upande wake na kutangaza AMEPINDUA SERIKALI! Kizaa zaa gani kingetokea?Haya mambo (kwa maoni yangu) yanachukua muonekano wa ukabila. Magufuli, Makonda na mkurugenzi mkuu wa Clouds wote ni wasukuma. Nikizidi kuhisi ni kwamba hata cdf naye ni wa huko huko pamoja na mwanasheria wa serikali.
Hivyo basi, kwa kitendo cha bw. Bashite kumtukana yule mama (mwenye elimu nzuri kumzidi) pamoja na kuthubutu kusema ukimwona yeye umemwona Mungu wa Dar bila kukemewa na mamlaka yaliyomuweka hapo alipo ni dhahiri kuna anachojiaminishia.
Ila sasa, kitendo cha kuvamia kituo cha habari na kulazimisha watangazaji warushe kile ambacho Makonda alitaka kiliwatisha wengi na kitakuwa kimwewaudhi wamiliki wa clouds. Hiki kitendo hakina tofauti na UHAINI, yaani pale angeweza kuchukua mike na kuamuru kamera upande wake na kutangaza AMEPINDUA SERIKALI! Kizaa zaa gani kingetokea?
Najua mkurungenzi mdogo Ruge hatokubali, lazima jambo litendeke kuhusu tukio hili.
Wadau Nimesikitishwa sana Na Kitendo kilichofanywa Na Uongozi mzima wa Clouds kumruhusu Bw.Makonda Na msafara wake wakiwa Na Silaha Kwa vyovyote ni za Jeshi la Polisi au JWTZ kuingia Studio Na kupiga kutisha watangazaji Na kuwaamuru kurusha kipindi.Sina ugomvi Na walichorusha ila utaratibu mzima uliotumika , je silaha alizotumia makonda zingeporwa Na majambazi ingekuwaje?Ndio maana nataka niende mahakamani ili Makonda, uongozi wa Clouds watangazaji Na hao walikuwa Na silaha watueleze watanzania ukweli.