mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Yale yale ya kitwanga na lugumi kujifanya kalewa bungeniNilikuwa na mawazo kama yako. Huu mpango utakuwa umesukwa.. ili mkulu asionekane mbaya.. na makonda aondoke salama.
Lakin akimtumbua kwa ishu ya vyeti... RC atakuwa amepoteza mvuto wa kisiasa.. na mkulu ataonekana ni mkumbatiamaovu.
Sidhani kama atakuwa ns nguvu hata ya kusogelea mahKimu maana ametakata kwa manenoWasimtumbue mpaka akatoe ushahidi kesi ya kubambikia bangi wema
Yaani mkuu unapitia kwa Mange then unakuja kupost kitu ambacho una uhakika nacho,acha ujinga.Ukiiangalia kwa umakini, hii kashfa imepikwa makusudi kama ile ya kitwanga.
Lengo mkuu wa nchi aonekane amechukua maaumuzi, lakini sio swala la vyeti.
Atamtumbua kwa matumizi mabaya ya madaraka na sio vyeti.
Clouds hawawezi kumgeuka makonda kirahisi hivi,
Bila shaka nadhani makonda ndo kamgeuka cloudsHapo aliemgeuka mwenzie nan kat ya Clouds au mzee wa fafa
.....