RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nilikuwa na mawazo kama yako. Huu mpango utakuwa umesukwa.. ili mkulu asionekane mbaya.. na makonda aondoke salama.
Lakin akimtumbua kwa ishu ya vyeti... RC atakuwa amepoteza mvuto wa kisiasa.. na mkulu ataonekana ni mkumbatiamaovu.
Yale yale ya kitwanga na lugumi kujifanya kalewa bungeni
 
Ukiiangalia kwa umakini, hii kashfa imepikwa makusudi kama ile ya kitwanga.

Lengo mkuu wa nchi aonekane amechukua maaumuzi, lakini sio swala la vyeti.

Atamtumbua kwa matumizi mabaya ya madaraka na sio vyeti.

Clouds hawawezi kumgeuka makonda kirahisi hivi,
Yaani mkuu unapitia kwa Mange then unakuja kupost kitu ambacho una uhakika nacho,acha ujinga.
 
Km wameipikwa na km makonda atawajibishwa inapasa hasiawajishwe peke yake bali pia kamanda sirro awajibishwe kwa kukubali kulidhalilisha jeshi letu la polisi.
 
Inaweza ikawa kweli..cha msingi awajibishwe na asidhani tutasahau la vyeti...labda Arisiti
 
haijarishi jambo hili ni kweli au si kweli kwa kiasi gani lakini nafikiri busara itumike jamaa apumzike kwanza au ajiuzuru kwa kuwa hakuzaliwa kuwa mkuu wa mkoa alichofanya kimetosha atakumbukwa kwa yote mazuri na mbaya
 
Na ndio mana Magu alituandaa..eti anawapenda waigizaji shilawadu kwa sababu Alijua kawapa igizo wamuigizie
 
0b61320c976416ccccce10e7c7136ce1.jpg


[HASHTAG]#rafikiwamangr[/HASHTAG]
 
1.kuogopa mkono wa sheria wa habari kuwa walilazimishwa
2.ni mpango mahususi ilikuwa wafanye hvy
 
Wamechoka kupoteza airtime yao kuwapigia debe Lumumba,wameamua kuwaumbua

Au

Ni maelekezo waliyonayo kutengeneza exit ya makonda kwa kigezo cha kufanya fujo clouds.

Na kwa jinsi clouds walivyo na mahaba na serikali,wasingeitoa,inaonekana kuna mkakati maalum kati ya clouds na baadhi ya vitengo serikalini
 
Walitaka wananchi tuone tabia halisi za mkuu wa mkoa kutumia majeshi yetu kama migambo wa jiji
 
Back
Top Bottom