Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Mkuu ni masoud kipanya au Musa kipanya"...Tunaweza jua ukweli wa kile kilichotokea ijumaa lakini hatuwezi jua kitakachofuata..."
Masoud Kipanya
Sasa hivi....Power BreakFast
Mkuu ni masoud kipanya au Musa kipanya
Atasema nini wakati mwenyenyumba kavaa miwani ya mbao?mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??
Moods please uacheni uzi utembeee...mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??
Mwigulu analifikiria jimbo lake maana kwa ccm hii kurudi madarakani ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la sindanomkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??
sizonje hawezi kutuyumbisha kitaeleweka tu muda ukitaraddadiMkuu, hili lishakuwa bawala la kambale!