RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

they had to coz Mange alikuwa anaenda ku expose madudu yao yote tena with evidence, kwanini wamkingie kifua bashite wakati watu wako serious wanataka vyeti, so ilibidi waonyeshe tukio kuwa si kwa kupenda kwao bali walilazimishwa maana walishakataa kuitoa kwenye kipindi
 
Kuvamia na kuteka kituo cha habari kwa kutumia askari waliovalia kijeshi na silaha nzito mara nyingi hutumiwa na wanaharakati wanaotaka kupindua nchi ni kosa la uhaini na adhabu yake ni kupigwa risasi hadharani au kifungo cha maisha.

Vitendo kama hivi tumezoea kuvisikia kwenye nchi zenye vurugu kama Burundi, Somalia na Sudan, ni tukio la kwanza kutokea Tanzania katika historia ninayoijua.

Kitendo alichofanya mkuu wa mkoa wa Dar ni cha kulaaniwa na kukemewa na wapenda amani.

Tukiacha mazoea haya yaendelee kuna siku kichaa mmoja from no where atavamia kituo na kutangaza kuanzia sasa yeye ndiye mtawala wa nchi hii.
 
Hongereni JWTZ kwa kuwa chimbo la viongozi smart wasiojihusisha na maswala ya kipuuzi puuzi kama hawa viongozi wa kuteuliwa ambao hawana maadili ya uongozi kwa uma, hawa jamaa wako simart sana tangia wateuliwe sijasikia any of them ana issue za kibashite bashite

Swali

Sasa kama RC makonda siyo mwajeshi na hana mafunzo yeyote ya kijeshi lakini anavamia taasisi, je ingelikuwaje kama angekuwa ni kati ya wale maafisa wa jeshi waliopewa nafasi hizo za DC n RC?, mnijibu
 
mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??
 
Atasema nini wakati mwenyenyumba kavaa miwani ya mbao?
 
mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??

Moods please uacheni uzi utembeee...
unamhusu mwigulu hivyo uacheni auone atupe neno. maana hamchelewagi kufanya yenu

cc: mwigulu nchemba
 
mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??

Mwigulu analifikiria jimbo lake maana kwa ccm hii kurudi madarakani ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la sindano
 
Utendaji kazi wa jembe letu Magufuli umewachanganya wapinzani hadi mumebakia kuleta maada za hovyo kabisa
JPM chapa kazi tuuu
 
Back
Top Bottom