RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Makonda amsafishe Ngwajima aone kama ugomvi wao utaendelea
 
ngoja tuanze kuzisoma zile namba alizozifuatilia kinana kule BOMBAY
 
hakuna makonda haendi popote. tunajua wauza ngada mumejiapiza makonda lazima aondoke dar. hela kibao mumetoa kwa wapinzani na watoto wa mjini kwao mradi hela. jpm yuko sawa nchi haiwezi kupangiwa na wauza ngada cha kufanya. tukikubali hilo tumekwisha. wapinzani wanatake advantage kuunganisha nguvu na wauza ngada. tuneona jinsi tanzagiza na kina mange kimambi wanaweza kufika mbali kutimiza azma yao kwa kumporomoshea rais wetu matusi ya nguoni. vyombo vya ulinzi vifanye kazi yao. hawa watu wanaweza kufanya chochote.
 
Kuna tetesi ambazo tunaendelea kufatilia kwa ukaribu zikidai kwamba, ile video feki ya kumchafua Mchungaji Gwajima ilitengenezwa Sinza Mori kupitia Swahili TV ikiratibiwa na William Malecela aka Lemutuz pamoja na Daudi Bashite Mwenyewe. Hii ndio ile video iliyosababisha clouds Radio ikavamiwa na Daudi Bashite !

Nadhani ni vyema Lemutuz na uongozi wa Swahili TV wakajitokeza kutoa ufafanuzi wa hili swala. Hizi taarifa nimezipata kwa mtu wa karibu sana na Lemutuz pamoja na Daudi Bashite
 
Lakini hii episode si tulishaimaliza na ukweli ulijulikana?
Labda hili jipya la Swahili TV na mtu mnene
 
Jumapili ya jana Gwajima alizungumzia nini?, naona yupo kimya sana, na watu wake wa karibu wapo kimya kutujuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…