RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

932e878da6aa197b41162ea35b7ed83d.jpg
 
ngoja tuanze kuzisoma zile namba alizozifuatilia kinana kule BOMBAY
 
1. Makonda na Gwajima wakae wayamalize, aliyeanzisha ugomvi(makonda) Awe wa kwanza. au Gwajima kwa vile ni mtu wa kiroho anaweza akaanza(akipenda).

2. Makonda arudishe flash ya watu.

3. makonda awaombe msamaha "Mawingu MEDIA".

4. Ndugu Paul Makonda amwombe "mtukufu" rais kuwa amwondoe ampeleke Geita au ajiuzulu.

Hapo Ugomvi utakuwa umekwisha, tunataka tuanze mjadala wa TUME HURU YA UCHAGUZI. Ya Nappe na Makonda yawe yamekwisha.
hakuna makonda haendi popote. tunajua wauza ngada mumejiapiza makonda lazima aondoke dar. hela kibao mumetoa kwa wapinzani na watoto wa mjini kwao mradi hela. jpm yuko sawa nchi haiwezi kupangiwa na wauza ngada cha kufanya. tukikubali hilo tumekwisha. wapinzani wanatake advantage kuunganisha nguvu na wauza ngada. tuneona jinsi tanzagiza na kina mange kimambi wanaweza kufika mbali kutimiza azma yao kwa kumporomoshea rais wetu matusi ya nguoni. vyombo vya ulinzi vifanye kazi yao. hawa watu wanaweza kufanya chochote.
 
Kuna tetesi ambazo tunaendelea kufatilia kwa ukaribu zikidai kwamba, ile video feki ya kumchafua Mchungaji Gwajima ilitengenezwa Sinza Mori kupitia Swahili TV ikiratibiwa na William Malecela aka Lemutuz pamoja na Daudi Bashite Mwenyewe. Hii ndio ile video iliyosababisha clouds Radio ikavamiwa na Daudi Bashite !

Nadhani ni vyema Lemutuz na uongozi wa Swahili TV wakajitokeza kutoa ufafanuzi wa hili swala. Hizi taarifa nimezipata kwa mtu wa karibu sana na Lemutuz pamoja na Daudi Bashite
 
Lakini hii episode si tulishaimaliza na ukweli ulijulikana?
Labda hili jipya la Swahili TV na mtu mnene
 
Jumapili ya jana Gwajima alizungumzia nini?, naona yupo kimya sana, na watu wake wa karibu wapo kimya kutujuza...
 
Back
Top Bottom