RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Wakati si milele.... Kuna wakati wa kulima na kuna wakati wa mavuno.... Wakati wa kuwa pamoja na wakati wa kutengana

Siku hizi mbona lemutuz hayupo karibu na Davis Mosha? Na hamsifiisifii kama zamani. Kulikoni?
...si ndio wako wote hapo Swahili TV?au kaishamtupa? Maana hy TV kuna kipindi ilikua na tatizo la menejimenti
 
Ahaa kile kiumbe kinachovaa mishati mtumbwi hivi mishati kama ile unaruhusiwa kuingia nayo maktaba maana wanaweza kuhofia ukiiba vitabu utavificha mle
 
Miaka ya Nyuma Kikundi Fulani cha Wauza Madawa, kilikodishwa kisiasa nchini kenya Kuvamia Kituo cha The Standard kwa mitutu.

Pia Na Dar akaonekana Mhuni Mmoja akivamia Kituo cha TV na Mitutu, Ati akadai huwa anakula Maharage hapo na Hao ni Walinzi wake! Hat Rais wa nchi Analindwa na Mitutu ya Kila aina lakini sijawahi kuona Rais akiwa anakula Karanga na Vijana kama alivyofany Mahali fulani au akinywa soda mahali huku mitutu imechomolewa.


Hata huyu anayedai Walinzi wale yupo nao Muda wote! Sijawahi kumwona Kuu wa Mkoa akiwa na Bodyguards ambao wamechomoa mitutu kumlinda, Who are you to do that EL Chapo?


Ati huwa naenda Clouds kula Wali wa Maharage, Mbona hapa Rais anaenda na Yeye Kula tena na watu kibao wamemzunguka huoni mitutu imeshikwa standby? Au Makonda ni wa Maana kuliko Rais?
Magufuli ipo siku atajua Makonda anamdanganya Kama Mtoto! I hope iwe soon, Huyu Dogo ni Jambazi Period!
Kinachonishangaza ni kuwa Staili hii ya Uvamizi inafanana sana ya Wauza Madawa ya Kulevya je Kulikoni?
 
Hata kama una chuki binafsi chuki zako zimepitiliza muwe mnaona hata aibu wakati fulani.. !!! Sijui nyie ni viumbe kutoka sayari gani. Unakuwa muongo mpaka mwenyewe unajidanganya. Daah..
 
Hapo ni kwao wala msipotoshe[emoji28][emoji28][emoji28]
Mtu hawezi vamia home[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hata kama una chuki binafsi chuki zako zimepitiliza muwe mnaona hata aibu wakati fulani.. !!! Sijui nyie ni viumbe kutoka sayari gani. Unakuwa muongo mpaka mwenyewe unajidanganya. Daah..
Muongo ni mimi eh!
 
Na hii Dunia itaku rahani tu


SWISSME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…