RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Ina maana huko Clinic kila akienda anamkuta nesi huyo huyo? Halafu hata kalamu imetumika moja ona rangi haijabadilika.. hyu mwanamke siamini ni mtunzaji kiasi hiki kwa kumuangalia sura yake, hii kadi ni mpya.. imejazwa siku moja.. wacheni kutudanganya
Kwa hiyo ukweli mnasema nyie tu ambao mnacheti cha 0 wiki ya nne hii hamjaweza kutuonyesha?

Acheni kufikiria kwa kutumia makalio, kama wewe ni mwanamke utaelewa maana ya clinic kama unaenda hiyo hiyo.

Gwajima aache kupotisha uma kuwa ana cheti cha 0 wakati hana, kama anacho atuonyeshe asituchoshe watanzania kwa kelele tupu zisizovunja mfupa... hata tukienda mahakamani tukiulizwa unauhakika Makonda ana cheti cha 0, tutakosa ushahidi maana hadi sasa tuna "Gwajima kasema, Mange kasema" no concrete evidence zaidi ya porojo za watu
 
Kwa hiyo unatuambia kuwa Gwajima naye amelipwa shilingi ngapi kumchafua Makonda?

Hakuna aliye msafi chini ya jua, hivyo kuwa makini sana unapo msakama mwenzio ukianzia na wewe unayesoma hapa, vile ya kwako hayajawekwa hadharani haikufanyi innocent.

Askofu naamini huyu mtoto wa kwake, maana anapenda sana totoz, kumbuka mke wa Mbasha.... View attachment 483115View attachment 483116
Mbona hiyo kadi ina gapes kibao??

Hata jina laa klinik hakunaa?
 
mbona kadi haina jina la klinik anapo pimiwa mtoto? au nayo magumashi?
Kwa usalama wa hospitali, hapo kwenye jina na namba pamezibwa angalia vizuri, hatuna haja ya kuwachosha maana mkitaka mnaweza kwenda kupima dNA, hivi vitu rahisi sana, kadi isikuchoshe.
 
=====
Msomaji, vema pia ukasoma hapa > Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!
=====

Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine anashinda hapo mpaka jioni. Siku ya Alhamis Makonda alifika office za Clouds Cha ajabu siku hiyo alikaa mpaka usiku akawa anamtafuta soudy Brown na Qwisser wa SHILAWADU muda huo walikuwa bado hawajafika kazini basi akawa anazungukazunguka tu ofisi hii anatokea ile kama mfanyakazi wa Clouds.

Kwenye Mida ya Saa kumi hivi akakutana na kina Soudy pamoja na prodyuza wa kipindi wakawa wanaongea kwa uficho hivi na usiri tukajua tu ni mambo ya kawaida ya kuhitaji uprivate lakini siku ile ulikuwa unatia mashaka sana.

Kumbe Makonda alikuja na Story ya mwanamke mmoja ambaye yeye Makonda alisema huyo mwanamke amezaa na mchungaji Gwajima na ametelekeza akawa anataka arekodiwe na ubuyu uruke kwenye kipindi cha SHILAWADU.

Basi wakakubalia kwa kuwa ni habari itabidi huyo mwanamke arekodiwe na kipindi kiruke siku ya jana lakini kawaida ya Kipindi cha SHILAWADU ubuyu ukipatikana lazima kila mtu apewe Natural Justice ya kusikilizwa pande zote mbili sababu huwa ndiyo kawaida ya kipindi.

Makonda siku hiyo hiyo ya Alhamisi akamwambia Soudy ajiandae then huyo mwanamke mnayemuona kwenye video na mtoto aliletwa na wasaidizi wa Makonda ahojiwe na Soudy Brown tayari kwa kurushwa kwa kipindi.

Siku ya Ijumaa ambayo ilikuwa ni jana SHILAWADU wakamtafuta Gwajima kwa upande wake kama anaifahamu hiyo ishu na je mwanamke huyo aliyetajwa ni kweli kwasababu tunaelewa ugomvi uliopo kati ya Makonda na Gwajima isijekuwa SHILAWADU wanatumika kuwafitinisha watu vibaya!

kwa bahati mbaya Gwajima hakupatikana jana ijumaa kwa ajili ya kurekodiwa na kufanyiwa mahojiano.

SHILAWADU wakatumia busara mpaka apatikane Gwajima scene ya Dada mwenye mtoto ziende kwa pamoja na ya mchungaji Gwajima kama kawaida ya POVU inavyokuwaga.

Jana usiku sasa kumbe Makonda alikuwa anafuatilia kipindi cha SHILAWADU aone kama kile kipande kitaruka hewani wapi ndiyo akaamua kuja Clouds na magari mawili yeye mwenyewe Makonda na Watu kama nane hivi wakiwa na Bunduki aina ya SMG geti la kawaida mlinzi alifungua geti kwasababu amezoeleka Mh anakujaga mjengoni wakafunguliwa kisha wakaingia ndani.

Walipofika reception wakazuiwa kuingia ndani sababu hatuna utaratibu wa kuruhusu wageni baada ya saa Nne usiku kuingia ndani ya Ofisi kama siyo mfanyakazi wa CLOUDS.

Alipoona wanazuiwa wakatoa bunduki zao mlinzi akashurutishwa afungue mlango kwa nguvu sababu walimtishia na Silaha mlimzi akafungua mlango wakaenda naye hadi studio kipindi kilikuwa kinaendelea hewani.

Makonda akawatoa nje Soudy na Mwenzake Qwisser akawauliza kwanini video aliyowaletea haijachezwa wakaelezea utaratibu jinsi utaratibu ulivyokuwa Qwisser wakati anajielezea akapigwa mtama akaanguka chini wakavamia mitambo ya transmission kwenye traycaster wakitaka kile kipande kirushwe hewani prodyuza wa kipindi akamuambia Makonda kwanini anavunja utaratibu na kutumia nguvu na ameshapewa utaratibu akapigwa na kitako cha Bunduki mgongoni akaanguka chini bahati mbaya kipindi kilikuwa kimefika mwisho.

Wakamshurutisha Prodyuza wa SHILAWADU anaitwa Chriss awape kile kipande wakaondoka naye wakati wanaondoka Ruge alikuja na Polisi akaingia lakini tayari walikuwa wameondoka ofisini wamechukua hicho kipande cha Video ya huyo mwanamke.

Hizo video zilichukuliwa kwa nguvu na Makonda na hao watu waliokuwa na Silaha inasemekana Makonda ana timu yake wanazisambaza kwa kasi na hatujui lengo lake ni nini.

Hata mkihitaji footage za Camera zipo jinsi tukio lilivyokuwa usiku wa jana.

====
Kutoka kwa wadau wa Clouds Media
Sasa raha ya hii movie yote ni hapo kesho ktk ufufuo na uzima... Baba mtoto mwenyewe akishapata hii story atakavyomwaga laana yake sasa! Mbona kutanoga hapa JF, sijui kama hiyo Dar itakalika!
 
Mfalme sulemani ya jF.

Na washawasha!

Ningekuwa mshauri wa Gwajima ningemshauri amkubali huyo mtoto anayesingiziwa, Gwajima atoke hadharani aseme jamani kweli huyo mtoto ni wangu so kuanzia Leo naomba nifuate taratibu zote nimchukue.......halafu tuone kama Huyo mama atakubali mtoto aende kwa baba asiye wake au kama baba wa mtoto atakubali huo ujinga.
 
Kesho gwajima ataunguruma, ndio matokeo ya zero, una edit lkn bado unakosea kuedit, makondakta mungu anakuona
 
Ningekuwa mshauri wa Gwajima ningemshauri amkubali huyo mtoto anayesingiziwa, Gwajima atoke hadharani aseme jamani kweli huyo mtoto ni wangu so kuanzia Leo naomba nifuate taratibu zote nimchukue.......halafu tuone kama Huyo mama atakubali mtoto aende kwa baba asiye wake au kama baba wa mtoto atakubali huo ujinga.
Hii kweli... Naona kesho hapo uwanjani atafanya hivi huyu bingwa!
 
Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine anashinda hapo mpaka jioni. Siku ya Alhamis Makonda alifika office za Clouds Cha ajabu siku hiyo alikaa mpaka usiku akawa anamtafuta soudy Brown na Qwisser wa SHILAWADU muda huo walikuwa bado hawajafika kazini basi akawa anazungukazunguka tu ofisi hii anatokea ile kama mfanyakazi wa Clouds.

Kwenye Mida ya Saa kumi hivi akakutana na kina Soudy pamoja na prodyuza wa kipindi wakawa wanaongea kwa uficho hivi na usiri tukajua tu ni mambo ya kawaida ya kuhitaji uprivate lakini siku ile ulikuwa unatia mashaka sana.

Kumbe Makonda alikuja na Story ya mwanamke mmoja ambaye yeye Makonda alisema huyo mwanamke amezaa na mchungaji Gwajima na ametelekeza akawa anataka arekodiwe na ubuyu uruke kwenye kipindi cha SHILAWADU.

Basi wakakubalia kwa kuwa ni habari itabidi huyo mwanamke arekodiwe na kipindi kiruke siku ya jana lakini kawaida ya Kipindi cha SHILAWADU ubuyu ukipatikana lazima kila mtu apewe Natural Justice ya kusikilizwa pande zote mbili sababu huwa ndiyo kawaida ya kipindi.

Makonda siku hiyo hiyo ya Alhamisi akamwambia Soudy ajiandae then huyo mwanamke mnayemuona kwenye video na mtoto aliletwa na wasaidizi wa Makonda ahojiwe na Soudy Brown tayari kwa kurushwa kwa kipindi.

Siku ya Ijumaa ambayo ilikuwa ni jana SHILAWADU wakamtafuta Gwajima kwa upande wake kama anaifahamu hiyo ishu na je mwanamke huyo aliyetajwa ni kweli kwasababu tunaelewa ugomvi uliopo kati ya Makonda na Gwajima isijekuwa SHILAWADU wanatumika kuwafitinisha watu vibaya!

kwa bahati mbaya Gwajima hakupatikana jana ijumaa kwa ajili ya kurekodiwa na kufanyiwa mahojiano.

SHILAWADU wakatumia busara mpaka apatikane Gwajima scene ya Dada mwenye mtoto ziende kwa pamoja na ya mchungaji Gwajima kama kawaida ya POVU inavyokuwaga.

Jana usiku sasa kumbe Makonda alikuwa anafuatilia kipindi cha SHILAWADU aone kama kile kipande kitaruka hewani wapi ndiyo akaamua kuja Clouds na magari mawili yeye mwenyewe Makonda na Watu kama nane hivi wakiwa na Bunduki aina ya SMG geti la kawaida mlinzi alifungua geti kwasababu amezoeleka Mh anakujaga mjengoni wakafunguliwa kisha wakaingia ndani.

Walipofika reception wakazuiwa kuingia ndani sababu hatuna utaratibu wa kuruhusu wageni baada ya saa Nne usiku kuingia ndani ya Ofisi kama siyo mfanyakazi wa CLOUDS.

Alipoona wanazuiwa wakatoa bunduki zao mlinzi akashurutishwa afungue mlango kwa nguvu sababu walimtishia na Silaha mlimzi akafungua mlango wakaenda naye hadi studio kipindi kilikuwa kinaendelea hewani.

Makonda akawatoa nje Soudy na Mwenzake Qwisser akawauliza kwanini video aliyowaletea haijachezwa wakaelezea utaratibu jinsi utaratibu ulivyokuwa Qwisser wakati anajielezea akapigwa mtama akaanguka chini wakavamia mitambo ya transmission kwenye traycaster wakitaka kile kipande kirushwe hewani prodyuza wa kipindi akamuambia Makonda kwanini anavunja utaratibu na kutumia nguvu na ameshapewa utaratibu akapigwa na kitako cha Bunduki mgongoni akaanguka chini bahati mbaya kipindi kilikuwa kimefika mwisho.

Wakamshurutisha Prodyuza wa SHILAWADU anaitwa Chriss awape kile kipande wakaondoka naye wakati wanaondoka Ruge alikuja na Polisi akaingia lakini tayari walikuwa wameondoka ofisini wamechukua hicho kipande cha Video ya huyo mwanamke.

Hizo video zilichukuliwa kwa nguvu na Makonda na hao watu waliokuwa na Silaha inasemekana Makonda ana timu yake wanazisambaza kwa kasi na hatujui lengo lake ni nini.

Hata mkihitaji footage za Camera zipo jinsi tukio lilivyokuwa usiku wa jana.
 
Kwa hiyo ukweli mnasema nyie tu ambao mnacheti cha 0 wiki ya nne hii hamjaweza kutuonyesha?

Acheni kufikiria kwa kutumia makalio, kama wewe ni mwanamke utaelewa maana ya clinic kama unaenda hiyo hiyo.

Gwajima aache kupotisha uma kuwa ana cheti cha 0 wakati hana, kama anacho atuonyeshe asituchoshe watanzania kwa kelele tupu zisizovunja mfupa... hata tukienda mahakamani tukiulizwa unauhakika Makonda ana cheti cha 0, tutakosa ushahidi maana hadi sasa tuna "Gwajima kasema, Mange kasema" no concrete evidence zaidi ya porojo za watu
Yaani kujibizana na ww ni kujishusha sana.. maana mikomo na midomo yako na akili yako inawaza upuuzi tu.. sasa utamtukana nani au ww ndo bibi wa mjukuu? Yaani walewale Bashii style mna jazba kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
=====
Msomaji, vema pia ukasoma hapa > Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!
=====

Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine anashinda hapo mpaka jioni. Siku ya Alhamis Makonda alifika office za Clouds Cha ajabu siku hiyo alikaa mpaka usiku akawa anamtafuta soudy Brown na Qwisser wa SHILAWADU muda huo walikuwa bado hawajafika kazini basi akawa anazungukazunguka tu ofisi hii anatokea ile kama mfanyakazi wa Clouds.

Kwenye Mida ya Saa kumi hivi akakutana na kina Soudy pamoja na prodyuza wa kipindi wakawa wanaongea kwa uficho hivi na usiri tukajua tu ni mambo ya kawaida ya kuhitaji uprivate lakini siku ile ulikuwa unatia mashaka sana.

Kumbe Makonda alikuja na Story ya mwanamke mmoja ambaye yeye Makonda alisema huyo mwanamke amezaa na mchungaji Gwajima na ametelekeza akawa anataka arekodiwe na ubuyu uruke kwenye kipindi cha SHILAWADU.

Basi wakakubalia kwa kuwa ni habari itabidi huyo mwanamke arekodiwe na kipindi kiruke siku ya jana lakini kawaida ya Kipindi cha SHILAWADU ubuyu ukipatikana lazima kila mtu apewe Natural Justice ya kusikilizwa pande zote mbili sababu huwa ndiyo kawaida ya kipindi.

Makonda siku hiyo hiyo ya Alhamisi akamwambia Soudy ajiandae then huyo mwanamke mnayemuona kwenye video na mtoto aliletwa na wasaidizi wa Makonda ahojiwe na Soudy Brown tayari kwa kurushwa kwa kipindi.

Siku ya Ijumaa ambayo ilikuwa ni jana SHILAWADU wakamtafuta Gwajima kwa upande wake kama anaifahamu hiyo ishu na je mwanamke huyo aliyetajwa ni kweli kwasababu tunaelewa ugomvi uliopo kati ya Makonda na Gwajima isijekuwa SHILAWADU wanatumika kuwafitinisha watu vibaya!

kwa bahati mbaya Gwajima hakupatikana jana ijumaa kwa ajili ya kurekodiwa na kufanyiwa mahojiano.

SHILAWADU wakatumia busara mpaka apatikane Gwajima scene ya Dada mwenye mtoto ziende kwa pamoja na ya mchungaji Gwajima kama kawaida ya POVU inavyokuwaga.

Jana usiku sasa kumbe Makonda alikuwa anafuatilia kipindi cha SHILAWADU aone kama kile kipande kitaruka hewani wapi ndiyo akaamua kuja Clouds na magari mawili yeye mwenyewe Makonda na Watu kama nane hivi wakiwa na Bunduki aina ya SMG geti la kawaida mlinzi alifungua geti kwasababu amezoeleka Mh anakujaga mjengoni wakafunguliwa kisha wakaingia ndani.

Walipofika reception wakazuiwa kuingia ndani sababu hatuna utaratibu wa kuruhusu wageni baada ya saa Nne usiku kuingia ndani ya Ofisi kama siyo mfanyakazi wa CLOUDS.

Alipoona wanazuiwa wakatoa bunduki zao mlinzi akashurutishwa afungue mlango kwa nguvu sababu walimtishia na Silaha mlimzi akafungua mlango wakaenda naye hadi studio kipindi kilikuwa kinaendelea hewani.

Makonda akawatoa nje Soudy na Mwenzake Qwisser akawauliza kwanini video aliyowaletea haijachezwa wakaelezea utaratibu jinsi utaratibu ulivyokuwa Qwisser wakati anajielezea akapigwa mtama akaanguka chini wakavamia mitambo ya transmission kwenye traycaster wakitaka kile kipande kirushwe hewani prodyuza wa kipindi akamuambia Makonda kwanini anavunja utaratibu na kutumia nguvu na ameshapewa utaratibu akapigwa na kitako cha Bunduki mgongoni akaanguka chini bahati mbaya kipindi kilikuwa kimefika mwisho.

Wakamshurutisha Prodyuza wa SHILAWADU anaitwa Chriss awape kile kipande wakaondoka naye wakati wanaondoka Ruge alikuja na Polisi akaingia lakini tayari walikuwa wameondoka ofisini wamechukua hicho kipande cha Video ya huyo mwanamke.

Hizo video zilichukuliwa kwa nguvu na Makonda na hao watu waliokuwa na Silaha inasemekana Makonda ana timu yake wanazisambaza kwa kasi na hatujui lengo lake ni nini.

Hata mkihitaji footage za Camera zipo jinsi tukio lilivyokuwa usiku wa jana.

====
Kutoka kwa wadau wa Clouds Media
Kama video inasema ukweli basi gwajima atupe majibu
 
Habari za kuaminika kutoka chanzoni kinasema usiku wa kuamkia leo Bashite aingia Clouds fm na kumpiga GWALA suddy kisha kumuarisha ampokee Video amabo ai Edit na KADI ya Clinic ya mtoto ambayo haikuwa na jina la Hosp ambayo inasemekana alikozaliwa mtoto Max ambaye ni wa Gwajima kisha kuondoka na kuambia hadi kufikia leo asbh iwe hbr hiyo iko hewani. Sasa c unajua nyuki akichokozwa anakuwaje Gwajima katuma ujumbe kwenye account yake ya Instagram ambayo inasomeka STAY TUNED A SINGLE TOUCH MANIFESTATION...... kwa hiyo kesho waumini wate wanatakiwa kuwahi mapema ili kutokuchelea kupata kiti na ukafaham nini kitajiri baada ya Ibada.
 
nimeamini huu mchongo umechongwa hata mukulu anaujua,na ndiyo maana alipiga simu clouds akawasifià shilawadu akijua clips zingerushwa Jana.
 
Juzi nilienda Bank mjini Dsm, nlifikwa kwa dhumuni la kuactivate account yangu upya sasa wale wahudumu pale Reception wakaniomba Kitambulisho changu chochote na mimi nikawapa hapo hapo (Cha chuo), lakini cha Ajabu mmoja wao akaniambia hiki kitambulisho kina Majina Mawili (Evarist Richard) na huku katika account ya kuna Majina matatu (Evarist Richard Balongo).
Mimi nkawaambia vitambulisho vyote nnavyotumia vina Majina mawili na hilo jina la Balongo niliongeza kwa sababu niliambiwa na Bank nitumie matatu na mimi nikaenda Mahakamani na kuongeza hilo jina la tatu.
Sasa pale Bank wakaanza kusema au na wewe unatumia VYETI FEKI kama BashiTe maana mara Richard mara Balongo na wakaongeza zaidi kwamba haya majina yanayoanza na "Ba" yana matatizo kabisa.
Sasa mimi nilimaindi kozi ninasoma Chuo tena Degree then wananifananisha na Mkuu wa Kaya iliniuma sana sema sikusema tu ukweli pale yaani mimi ni sawa na Bashite daaah lakini fresh tu na mimi ntakuwa mkuu wa kaya siku moja [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom