RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nadhani kabila lake pia linachangia. Mtu Unajua uko mji wa watu wajanja kama Dar alf unatumia mbinu za kitoto kuuficha ukweli. Na ile vdeo itamhukumu, ya gwajima saiv hatujali atabmtoto awe wake kweli. Kwann atumie nguvu ivo kuficha madudu yake.
daah manake naangalia toka kwenye magari anaacha alama za wazi kabisa. huku nako wazi wazi kabisa anafikiri atakalia ile ofisi milele.
 
Nimeiona hata mimi, hebu muanzisha thread iweke mwenyewe siyo mpaka tukuwekee, aibuu huyu [HASHTAG]#bashite[/HASHTAG] anayofanya
 
Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.

Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
Aisee si uweke hapa hako kavideo tuendelee kumfahamu bashite kwa jinsi alivyo!
 
Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.

Aibu sana hii. Ndio maana wanatuambia shule ni muhimu kwenye uongozi.

Tunaongoja utetezi kutoka kwa wakili Le Mutuz.
 
Back
Top Bottom