vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Mambo ya mjini achana nayo mkuu....Nyie limeni mtuletee vyakula....Haya tuachie wenyeweInstgilam ndio nini jamani, huku kijijini hatuna setelait mweeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mjini achana nayo mkuu....Nyie limeni mtuletee vyakula....Haya tuachie wenyeweInstgilam ndio nini jamani, huku kijijini hatuna setelait mweeh!
daah manake naangalia toka kwenye magari anaacha alama za wazi kabisa. huku nako wazi wazi kabisa anafikiri atakalia ile ofisi milele.Nadhani kabila lake pia linachangia. Mtu Unajua uko mji wa watu wajanja kama Dar alf unatumia mbinu za kitoto kuuficha ukweli. Na ile vdeo itamhukumu, ya gwajima saiv hatujali atabmtoto awe wake kweli. Kwann atumie nguvu ivo kuficha madudu yake.
uko Koromije nini mkuuInstgilam ndio nini jamani, huku kijijini hatuna setelait mweeh!
ha haAnao, Steve nyerere na Le Mutuz.
Mungu anahusikaje hapa. ya Kaisali mpe Kaisali na ya Mungu mpe Mungu.Watanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi
Aisee si uweke hapa hako kavideo tuendelee kumfahamu bashite kwa jinsi alivyo!Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.
Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.
Aibu sana hii. Ndio maana wanatuambia shule ni muhimu kwenye uongozi.
Tunaongoja utetezi kutoka kwa wakili Le Mutuz.
Mkuu iweke basi tuangalie, ngoja kwanza niongeze bandoHii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.
Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
C programming badili ID unaidhalilishaWatanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi