RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Kutokana na sakata la Mh Makonda kuingia Clouds Media usiku, kila mtu amekua akisema yake. Wengi katika hao wanalaani Mkuu wa mkoa kufika pale akiwa na askari polisi wenye silaha. Wakumbuke polisi kwa kiapo chao na kazi zao ni walinzi wa amani. Sasa kila anayejipendekeza husema wanalaani Mh Makonda kuingia clouds akiwa na polisi. Kwa kauli zao Mh Makonda iwapo angefika peke yake hata kama angefanya kitu kibaya isingekuwapo dosari. Polisi waalikuwapo kuangalia usalama wa mkuu wa mkoa na wananchi wanaomhudumia mkuu wa mkoa.
 
Bashite (Swala Mbugani) tunajua kinachokufanya uringe
 
I wish I could be an IGP. Sikushauriwa Kuchukua fomu. Makonda Chapa Kazi Mwafwaaa.
 
Kutokana na sakata la Mh Makonda kuingia Clouds Media usiku, kila mtu amekua akisema yake. Wengi katika hao wanalaani Mkuu wa mkoa kufika pale akiwa na askari polisi wenye silaha. Wakumbuke polisi kwa kiapo chao na kazi zao ni walinzi wa amani. Sasa kila anayejipendekeza husema wanalaani Mh Makonda kuingia clouds akiwa na polisi. Kwa kauli zao Mh Makonda iwapo angefika peke yake hata kama angefanya kitu kibaya isingekuwapo dosari. Polisi waalikuwapo kuangalia usalama wa mkuu wa mkoa na wananchi wanaomhudumia mkuu wa mkoa.
Nyie ndiyo hao hao wenye vyeti vya " Form Four Fight For Food For Four years".
 
Kutokana na sakata la Mh Makonda kuingia Clouds Media usiku, kila mtu amekua akisema yake. Wengi katika hao wanalaani Mkuu wa mkoa kufika pale akiwa na askari polisi wenye silaha. Wakumbuke polisi kwa kiapo chao na kazi zao ni walinzi wa amani. Sasa kila anayejipendekeza husema wanalaani Mh Makonda kuingia clouds akiwa na polisi. Kwa kauli zao Mh Makonda iwapo angefika peke yake hata kama angefanya kitu kibaya isingekuwapo dosari. Polisi waalikuwapo kuangalia usalama wa mkuu wa mkoa na wananchi wanaomhudumia mkuu wa mkoa.
We ndio msemaji wa makonda?
 
1. Makonda na Gwajima wakae wayamalize, aliyeanzisha ugomvi(makonda) Awe wa kwanza. au Gwajima kwa vile ni mtu wa kiroho anaweza akaanza(akipenda).

2. Makonda arudishe flash ya watu.

3. makonda awaombe msamaha "Mawingu MEDIA".

4. Ndugu Paul Makonda amwombe "mtukufu" rais kuwa amwondoe ampeleke Geita au ajiuzulu.

Hapo Ugomvi utakuwa umekwisha, tunataka tuanze mjadala wa TUME HURU YA UCHAGUZI. Ya Nappe na Makonda yawe yamekwisha.
 
Back
Top Bottom