johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kipi kibaya alichoongea hapo?Kiukweli uongozi wa huyu jamaa una ukakasi hatari.
Kuna siku tutajua tu siri anayoijua Mmarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawaamini Marekani?Kiukweli uongozi wa huyu jamaa una ukakasi hatari.
Kuna siku tutajua tu siri anayoijua Mmarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua Mkuu!Kiukweli uongozi wa huyu jamaa una ukakasi hatari.
Kuna siku tutajua tu siri anayoijua Mmarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli uongozi wa huyu jamaa una ukakasi hatari.
Kuna siku tutajua tu siri anayoijua Mmarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm.
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla.
Karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Umeongea point nzuri sana.Hatuambii atafanya nini kuzuia mafuriko jangwani kabla ya masika ya mwezi wa tatu mpaka wa nne. Yy anaingilia kazi ya tume wakati jiji limemshinda
Tunataka vitambulisho vya Taifa na si mamo ya kupiga kuraLeo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm.
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla.
Karibu.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1357149
Sana!! Unaitaja Marekani kuliko hata waliokuzaa
Nenda kahakiki ama ujiandilishe update haki yako ya Kupiga kuraNashukuru kwa upande wetu huku mtongani relini kuna mashine tatu, za wanawake moja na wanaume mbili ila kwa mwanamke unaruhusiwa kuja hata huku wanaume ni zoezi rahisi na haraka kabla ya yote unaulizwa kama uliwahi kujiandikisha na kutaja majina matatu na sehemu ,wilaya mkoa wanakutafuta na kama haupo anaanza upya na kupewa kitambulisho kingine unaandika majina yako matatu tarehe mwezi na mwaka wako wakuzaliwa na namba ya nyumba ila si lazima kisha unapigwa picha na kupewa kitambulisho chako hapo hapo na kuondoka