Uchaguzi 2020 RC Makonda awaalika wakazi Dar kwenye Uboreshaji Daftari la Wapiga kura

Habari ya mujini kwa sasa ni kuwa kapigwa ban kuingia USA kisa matendo yake

In God we Trust
Yap kapigwa ban ya kuingia USA lakini sio ya kuingia Mbinguni usijifanye Mtakatifu kwa kunyooshea mwenzio kidole jiulize na wewe umemkosea Mola mangapi ?mwisho wa siku atatubu kama watubuvyo waliongoka na kuuona ufalme wa Mbinguni usishangae ukafika huko ukashangaa anaimba na kusifu huku akizunguka na wale wazee 24 Dhambi zote sawa hakuna iliyo kubwa wala ndogo cha muhimu ishi maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura zenyewe hamtaki tupige mnaondoa wagombea wa vyama vya upinzani ili mpite bila kupingwa sasa mnaboresha la nini wakati hamtaki tupige kura na tukipiga mnatangaza matokeo yenu mliyopanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi [emoji1259] naenda kama ninavyo kwenda kwetu kigoma na sasa nipo hapa us
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…