RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Huyu ni rafiki wa Bashite mwenyekiti wa Kamati ambaye kutokana na ushawishi wa mwenyekiti akaingizwa kwenye kamati.
Hapa alikifatilia michezo taifa kwa umakini sana.
Lazima mawazo yake yataleta tija kwa Stars
binamubananga___BvUbC_LBG-h___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matamko mengine inabidi mtu afikirie vizuri.
Hivyo vinywaji ni vyake?
Kama siyo vyake anawezaje kupangia wafanya biashara bei bila utataratibu? Au ataamuru buge lipunguze bei.
Anaweza sema kuwa atalipia hilo ongezeko, je anajua ni kiasi gani cha vinywaji kitatumika?

Aache hayo matamko ya kishabiki

Ndugu elewa jambo hapa moja ya Wadhamini wakubwa wa Taifa Stars na Ligi ya Wanawake ni Serengeti Breweries Limited hivyo kusema Watashusha Bei za Bia za Serengeti ni njia ya kutangaza, kuuza bidhaa zao angalau kurudisha kile walichowekeza.
 
Aoenyeshe formula kwanza ,mimi kwa maoni yangu nahisi itakuwa furugu na sintofahamu.
Je waziri wa fedha kaenda likizo?
 
Back
Top Bottom